TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

R.I.P
IMG_20220718_142633.jpg
 
Innalillah wainna ilayhi raj'ng'uun,,,,, asee hizi I,d fake nyie.. Yani huyu jamaa namjua vizuri tu, na tushagumiana sana kwenye harakati za utafutaji cape town, na nilikuwa naiona sana hii I'd yake ya rubawa hasa katika jukwaa la historia lkn nilikuwa sijui kama ni huyu jamaa,, na mara nyingine tukipeana like dah😢
 
Marekani, cape town Dar ila kutembea kote huko alikuwa wakala wa mpesa maisha haya dah

RIP RUBAWA
Acha ushamba mzee...mimi pia wakala wa mpesa kwa mwezi nalaza karibu milioni moja hiyo ni commision tu..nina vifaa vya umeme kwenye hiyo office nimeajili vijana wawili ....wanalala kwangu nawalisha na mshahara wao sio chini ya 150000 kwa kila mmojaa......hiyo commision haihusiani na mshahara hiyo ikitoka ni direct inaingia bank...vifaa vya umeme na simu ndivyo vinawalipa....endelea kudharau watu huku kwa mwezi unapokea laki tano tena yenye makato ...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom