TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

Ilala imezizima. Poleni sana wana ilala.

Alikuwa ndo kaanza kazi Marekani baada ya ku kuhustle dizonga kwa muda mrefu.

Mungu awatie nguvu wafiwa...

Duh hadi unaweza kusema katupiwa mdudu.
Aise maisha bwana yani mtu unaanza kutusua ndio na umauti unakukuta, inna lillahi wa inna ilaihi rajiun
 
Amefariki ghafla, hakuwa mgonjwa.

RIP Bro 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

Screenshot_20221208-145149.jpg.jpg
 
Back
Top Bottom