Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Sote ni wa Mwenyezimungu na kwake tutarejea poleni sana wafiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu kwa kunijuza.
Anaitwa Rubawa wewe unasema Lubawa with an L hiyo L umeitoa wapi? Hata kucopy huwezi?
Shoga angu usicheke tupo msibani, mwenzio najitahidi lkn wajomba wa marehemu washaanza kuleta nongwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wape taarifa mapema ndugu zako au jamaa wa karibu. Nahili nalo tukufundishe kama mtt wa darasa la pili kweli!!??R.i.p.
Na mimi nkfa humu ndan nan atajua kfo changu
[emoji4][emoji4][emoji4]
Atoe taarfa kwa members
Mawazo ya kijinga kabisa haya,toka huko kwenye imani za hovyo.Kuna vifo vya Mungu na vifo vya wakuu wa giza...
Kuna watu Roho zao zinatumikishwa bado duniani na wakuu wa giza...
Watu hufikiri vifo vyote ni vya Mungu...
NB: Watu wengi hawajafa kifo cha Mungu
Ndio akili zako ndogo zilipoishiaMarekani, cape town Dar ila kutembea kote huko alikuwa wakala wa mpesa maisha haya dah
RIP RUBAWA
Mkuu wa giza umeguswa...Mawazo ya kijinga kabisa haya,toka huko kwenye imani za hovyo.
Nyie walokole mna tabu sana,kila kiumbe kinakufa kwa amri ya Mungu,Mkuu wa giza umeguswa...
Sasa hadi marehemu siku yake ya mwisho anatajwa kimakosa kweli sio vyema ajitahidiMaua tulia watu tuko msibani tuna majonzi 😜
Nimeliona hilo pia..Kwa haraka haraka nimeangalia thread zake jamaa alikuwa bigwa wa nyuzi za taarifa za tanzia..
R.I.P mwana jf.
Kashindwa kukopi hadi jinaShoga angu usicheke tupo msibani, mwenzio najitahidi lkn wajomba wa marehemu washaanza kuleta nongwa
Marehemu hakuwa anajificha...Kwenda nawe nyie ndio mkifahamiana na mtu kidogo mnajitia ujuaji, marehemu angetaka asingejificha.
Halafu wewe ndio uache mihemko swali sio lako