TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

Kwa hiyo ajali ya manyoni na bichwa la treni ni mpango wa mungu

Ova
Kwani kifo cha Mungu kipoje??au ufajee ndio watu wajue umekufa Kwa mipango ya Mungu na si vinginevyo??wabongo hamkosagi sababu kwenye kifo utafikiri mlishawahi na mnauzoefu wa kufa??epuka chako basi kama unakifahamu na unakijua Kifo!!
 
Pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki bila kusahau wana Jf.
Kazi ua Mungu haina makosa.
 
Kuna vifo vya Mungu na vifo vya wakuu wa giza...

Kuna watu Roho zao zinatumikishwa bado duniani na wakuu wa giza...

Watu hufikiri vifo vyote ni vya Mungu...

NB: Watu wengi hawajafa kifo cha Mungu
Toa mfano
 
Privacy policy has to be adhered! Kakuruhusu kuonyesha picha yake hapa?
Mimi sioni tatizo kama sijawahi kuandika mabaya juu ya maisha yangu au maisha ya mtu kwanini kuficha picha yangu,unajuaje kama aliyepandisha picha hapa alisharuhusiwa na marehemu atumie picha zake kutangaza kifo chake?

Shida ni wanaoshindana kuandika sijui nimemvua fulani chupi au nimevuliwa na fulani chupi,au kuandika namna alivyoiba mali za watu sometimes kuomba shauri za kipumbavu kama ”nimetongozwa na shoga au nina hisia za kishoga” mtu mwenye maandishi hayo mtandaoni hawezi mruhusu mtu wake wa karibu kutangaza kifo chake habari zikiambatana na picha yake.

Tuishi kwa usafi,kuwa na fake IDs hakutufanyi kujificha nyuma yake wapo watu wanatujua na wakati ukifika hawawazi kutufichia picha zetu sababu hawajui wakati wetu mitandaoni tuliutumia vipi kwa mabaya au mazuri watakachojali wao wakati huo ni kuutangazia umma vifo vyetu.
 
Back
Top Bottom