NAHAL
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,670
- 3,281
Kwani kifo cha Mungu kipoje??au ufajee ndio watu wajue umekufa Kwa mipango ya Mungu na si vinginevyo??wabongo hamkosagi sababu kwenye kifo utafikiri mlishawahi na mnauzoefu wa kufa??epuka chako basi kama unakifahamu na unakijua Kifo!!Kwa hiyo ajali ya manyoni na bichwa la treni ni mpango wa mungu
Ova