TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

Marehemu hana kauli ila Kama hakutaka Identity yake iwe wazi akiwa hai hata akiwa amekufa inapaswa kubaki hivyo, kama aliiweka wazi ni sawa kuendelea kuiweka wazi.

Apumzike kwa amani mwenzetu.
Mkuu,
Ndugu niliyemjibu hapo juu alifanya conclusion kwamba privacy iheshimiwe ni kama alikuwa anatuhumu.

Nikwamwambia kwanini jf ni anonymous lakini kiongozi amepata picha zake? Je kama ameongea na familia aweze kutoa taarifa? Alichofanya yeye ni kutoa Taarifa hakuna sehemu ametoa kashfa au kitu kibaya.

Wengi wetu tukifa privacy huwa inavunjwa mfano tusitaki kushare mwaka wangu wa kuzaliwa ila siku nikifa nitaanza kutajwa hivyo vitu vyote.
Je ni kweli nitakuwa nimekubali waviseme ilihali ni mfu?

Tunashukuru kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom