TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.

Mazishi yamefanyika leo tarehe 23 Februari kwao Rungwe .

Apumzike salama
RIEP Ndikwega
 
Pole ya wafiwa wote,
Najiwazia mimi nitakapokufa nani atajua humu? anyway mkiona kimya zaidi ya mwaka mjue nipo kwa baba namimi[emoji44]
Hahahaaa. Tafuta rafiki mmoja hasa wa kwenu mimi nimeshawishi watu wengi kujiunga humu kupata habari zaidi ya 100. Tatizo wengi ni wasomaji tu. Hivyo twajuana. Hakuna madhara labda km unaandika uchochezi mwingi
 
Wachagga wa kibosho Mango,kirima,kitandu,umbwe,Dakau, Mkomilo, mkosangana,tujuane
 
AMPE SALAMU JPM,MKAPA, NA NYERERE,AWAAMBIA TANZANIA KWA SASA BAADA YA MAGUFULI KUONDOKA IMEKUWA NI SHAMBANI BIBI,
 
Back
Top Bottom