peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Huwa mnamtambuaje mwanaJf akifariki? Wakati wengi wanatumia I’d fakeNdugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.
Mazishi yamefanyika leo tarehe 23 Februari kwao Rungwe .
Apumzike salama