TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

Inawezekana humu mkafahamiana na watu 2 au 3
Unachagua tu watu wako wachache mnafahamiana

Nashukuru uzi wa selfika umenikutanisha na baadhi ya members humu ndani.

Anko Mshana Jr shukrani sana Kwa kuanzisha ule uzi.naomba nikuhakikishie kupitia uzi ule watu wamepata ajira (kukutana na watu),kutengeneza konekshen za maisha.

😊😊
 
Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.

Mazishi yamefanyika leo kwao Rungwe .

Apumzike salama
RIP Ndikwega
 
Poleni wote kwa msiba huo.

Jf miaka hii haina tena bakuli la rambirambi ni kama boss anatoa za mfukoni tu.
 
Unachagua tu watu wako wachache mnafahamiana

Nashukuru uzi wa selfika umenikutanisha na baadhi ya members humu ndani.

Anko Mshana Jr shukrani sana Kwa kuanzisha ule uzi.naomba nikuhakikishie kupitia uzi ule watu wamepata ajira (kukutana na watu),kutengeneza konekshen za maisha.

😊😊
kweli..
 
Huwa mnajuaje na hizi fake id
Watu wengi humu tumejuana kupitia humu na tukapeana mawasiliano wengine tukakutana kabisa.

Hivyo kama kuna member mnajuana nje ya JF ukipatwa na tatizo wanajua tu.

Mfano mimi kuna member humu tumefahamiana humu na ni marafiki kwa nje huko.
 
Rest well Ndikwega
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.

Mazishi yamefanyika leo tarehe 23 Februari kwao Rungwe .

Apumzike salama
Pigo kubwa sana !
 
Igawa kuna mkeka mmoja unashawishi sana..kukimbia..kwa safari za mbali ni muhimu sana kua na red bull 4 au 6 ili kuondoa uchovum...
Rebbull 4 kwa siku si moyo unaweza kuleta shida...ukiwa mzoefu wa kuendesha ajali kupata ni nadra sana,ukiona uchovu pumzika
 
Back
Top Bottom