TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

Nimezipokeaa hz taharifa kwa uzuni sna namjuwa vzr Sana tumesoma nae chuo kimoja na pia Ni mfanyakaz wa hazina ndgo hapo njombe ila sijawai kujuwa kuwa Yuko huku until Jana nilivyoona taarifa ya kifo chake nilishtuka sna kwani mwezi wa January nilikuwa nae hapa kibo akiwa amefika dsm hapa kuja kuchukuwa cheti chake Cha CPA niseme tu tulizunguza mengi kidg na yey kwani ananijuwa vzr San na ikumbwe kuwa hii ajali ilikuwa ya pili kwan alinihadidhia kuwa alipata ajali nyingine na kuharibu gar yake vbya mno kweny show ya mbele na kumgarimu mamilion ya pesa picha za ajali yake ninazo na nitazishare humu ndani muda siyo mrefu kwani Ni rfk yangu pia ni class mate wangu pia .mungu amlaze mahali pema peponi Amina
Pole sana sana. Ndio safari
 
Poleni nyoote mlioguswa na msiba huu... Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Igawa kuna mkeka mmoja unashawishi sana..kukimbia..kwa safari za mbali ni muhimu sana kua na red bull 4 au 6 ili kuondoa uchovum...
kweli, ule mkeka kuanzia Mpakani pale Hadi igawa umetulia sana halafu bado mpya mpya
 
Picha za ajili zake nimeziona zikizagaa ktk mitando mbali mbali

IMG-20220224-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom