TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.

Mazishi yamefanyika leo kwao Rungwe .

Apumzike salama
My condolence
 
Sijajua ajali ilisababishwa na nini lakini mwendo kasi unaua.

Juzi niko barabarani na jamaa ananiambia angekuwa yeye ndiye mwenye gari yangu hata V8 wangekuwa wanaisoma namba. Hii inaonesha namna gani watu wanapenda mwendokasi bila kujali kuwa viwango vya barabara zetu havikidhi mwendokasi wa baadhi ya magari.
Kamba duh
 
Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.

Mazishi yamefanyika leo kwao Rungwe .

Apumzike salama
Tatizo la sisi wana jamii forum hatutumii majina yetu OG ndiyo maana hatujuwani
 
Watu tunajuana humu mkuu. Kama mimi nina rafiki zangu wakubwa humu wananijua fika akiwemo huyu syllae toka nitoke tangu tunavaa kaptula
Sema mimi sina yoyote anaenijua humu ikitokea ya kutokea inakua kmy tu
 
Pole ya wafiwa wote,
Najiwazia mimi nitakapokufa nani atajua humu? anyway mkiona kimya zaidi ya mwaka mjue nipo kwa baba namimi[emoji44]
Hii hua unakuta unarafkiako anatumia jf ikiwa naww unatumia jf pia ID mnajuana ikitokea mmoja anatoa taarifa ila kwa upande wangu nipo pekeangu
 
Back
Top Bottom