TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

Hii hua unakuta unarafkiako anatumia jf ikiwa naww unatumia jf pia ID mnajuana ikitokea mmoja anatoa taarifa ila kwa upande wangu nipo pekeangu
nami niko peke yangu, nitakufa mazimaa kwakweli
 
Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.

Mazishi yamefanyika leo tarehe 23 Februari kwao Rungwe .

Apumzike salama
Udongo unaondoka tu JF Members. R.I.P Kwake na pole nyingi sana kwa Familia yake, Ndugu, Jamaa, Marafiki na wana JamiiForums wote kwa Msiba huu.
 
Back
Top Bottom