Wanamchokoza watapata majibu yake kesho.Tumalize kwanza la Bashite, la huyo mama ni very personal kama hajuwi aelekezwe aende usitawi wa jamii watamaliza issue yake kama jambo lake ni kweli. Lakini hata kwa hisia tu hamna kitu hapo ndo maana kapeleka kwenye hiyo Redio.Na hili swala la Bashite lisipo shughurikiwa mapema, tutashuhudia kila aina ya Ngwala zikipigwa
Mkuu hii ya matendo ya gwajii ni part 2. Part one bado haijaisha mpaka tuone vyeti. [emoji12] [emoji12]Mtu kama gwajima anafaa kuwa mtumishi na kuwaongoza kondoo wake na ilhal matendo yake si mazuri kama ni kweli lakini je anafaa kuwaongoza waumini wake au anapiga porojo tu
AmenSawa mm na Amini Ikiwa kweli ni Muovu Iko siku Mwenyezi Mungu Atamfichua Uovu wake!!!
Wewe sio fuska? Hebu thibitisha!Askofu gani yaani ni ufuska tu makanisani hii dini sijui inaenda wapiii
Vya huyu bwana Bashite havimaliziki, kila siku tutasema afadhali vya Jana.Baba askofu Gwajima, bashite kamtuma huyo binti ili akuchafue. Kesho malizia kabisa ile stori yoooote ya bashite uliyoibakiza. Kesho sema yote usiache hata nukta, wamekuchokoza wenyewe.
mie kesho nitafuatilia mahubiri yako mwanzo mwisho. Hivi utakuwa live Tv/redio gani baba mchungaji...??
Tena tujuaje mapatano na makubaliano yao?Umalaya si jinai, ila kufoji vyeti ni jinai isiyokubalika!!!
Mkuu unahangaika kumtetea Paul Bashite unatumika nguvu nyingi sn si mumwambie atoe vyeti au mnalipwa sh ngapi?.au wewe ni Daud BashiteYou're not my calibre stupid fool.
Huyo mama anleta swaga za kishamba kabisa kwani ni bora angemuona jamaa mwenyewe ili waweze kukubaliana huko na pili, wakati wanakubaliana huko walipokuwa hakuna mtu aliekuwepo yawezekana jamaa alikuwa anapita si unajua tena bhana.Hilo ndio swali watu wasema alikuwa watu adi Leo anataka Cheti