Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

CCM inafanya mambo ya kitoto..., wanamuanza wenyewe Gwajima akijibu wanasema asemehe.... Uhuru fm ni kituo cha chama inajulikana ilo angalau hata angeenda E-FM ningemuelewa kidogo.
Hiyo inaitwa mfamaji
 
KUNA DADA AITWAE MAMA MAX YUPO KATIKA REDIO UHURU AKITOA USHUHUDA WA KUTIWA UJAUZITO NA KUZALISHWA NA ASKOFU MAARUFU KWA KUDANDIA NA KUROPOKA HOVYO , SASA NA HILI NALO ALIVALIE NJUDA HUKO KANISANI, TAPELI BIN FUSKA MKUBWA
Hatuna haja ya kuingilia faragha za watu na huyo mwanamke kama ameamua kutoa nje siri zao za ndani basi akapimwe akili
 
Hata huyo mtoto mchanga nae hata akidai pia ana mimba ya Gwajima sisi poa tu kikubwa Bashite akae ndani kwanza.
 
Ninafurahi wanavyomchokoza ili kesho aendelee kumwaga mboga.
 
Things fall apart ya gwajima ipo njiani
Ilikuwa njiani wakati Bashite kamtangaza kuwa ni muuza ngada, lakini akachomoa, hii mbona ndogo tu, mkulu mwenyewe alisema watu wafyatue watoto, sasa huyo bwana anafyatua kosa lake nini?
 
Sasa wewe una mhoji mtu na unafunika uso. Ujinga wa ajabu. Mwambie Bashite alete vyeti
 
Huyo asiyekuwa na vyeti anasaidia waathirika wa madawa ila huyo mchungaji anaongeza tu watoto wasio na msingi kisha anawatelekeza kanisa linamskiliza mchungaji ambao akihitaji binti au mama anapiga pu.... sio haki kabisaaa
Tumewagaragaza huko Arusha
 
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.

km anahojiwa uhuru fm;mbona umeweka clip ya shilawadu soud?
 
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.

Subirini JumaPili maana sasa ndio mmemchokoza gwajima. Atamwaga mazagazaga yote, alishasema msimchokoze sasa nyie mnaenda kununua watu ili kumvunja nguvu. Mmenoa
Gwajima alisema akichokozwa tena wiki hii atafumuka upya hapendi ujinga

Ila kumpa mimba sio kosa la jinai kufoji vyeti ni kosa la jinai ......
Daudi leta vyeti hatujasahau hivyoo

Hawa ndio wale wapuuzi watumikao na ccm kama makarai ya ujenzi

Akamwambie Bashite alete vyeti kwanza hio tbc/uhuru redio cha chama inatumia nguvu nyingi sana kutetea mtu aliyepata zero
 
Hawa ndio wale wapuuzi watumikao na ccm kama makarai ya ujenzi
Sikuwahi kucheka tangu sisonje aanze u uchwara ila Leo umenivunja mbavu,huyu katumwa na kina sisonje na bashite,utamu aupate yeye mbona hakuja kusema kiasi cha utamu alichokisikia?nyambaafu.leo niko hapy maana sisonje na mzee wa pollonium wameumbuka TLS,Lisu kitu kingine bana
 
Mchungaji anafanya uzinzi ndani ya kanisa lake tena si kwa mwanamke mmoja
Mdada anasema kanisani kwake kuna vyumba tisa vyote anafanyia uzinzi
Tena waumini wakiwa wapo ndani ya kanisa wanafanya ibada mchunga kondoo wao anafanya ngono kwenye vyumba vya kanisa
Alafu anakuja mtu anatetea hii laana ya kuvunja amri ya sita
hii DINI uwenda ikawa ni ya shetani
Kwa sababu wenye hii DINI yao wala awastuki kwa kanisa kuchafuliwa
hama kweli huu ni msiba mkubwa..
 
Back
Top Bottom