Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mali ya ccmHivi Uhuru fm Mali ya nani tukijua mmilimki wake basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali ya ccmHivi Uhuru fm Mali ya nani tukijua mmilimki wake basi
Hiyo inaitwa mfamajiCCM inafanya mambo ya kitoto..., wanamuanza wenyewe Gwajima akijibu wanasema asemehe.... Uhuru fm ni kituo cha chama inajulikana ilo angalau hata angeenda E-FM ningemuelewa kidogo.
Hatuna haja ya kuingilia faragha za watu na huyo mwanamke kama ameamua kutoa nje siri zao za ndani basi akapimwe akiliKUNA DADA AITWAE MAMA MAX YUPO KATIKA REDIO UHURU AKITOA USHUHUDA WA KUTIWA UJAUZITO NA KUZALISHWA NA ASKOFU MAARUFU KWA KUDANDIA NA KUROPOKA HOVYO , SASA NA HILI NALO ALIVALIE NJUDA HUKO KANISANI, TAPELI BIN FUSKA MKUBWA
Hiyo hiyo ya ccm ya BashiteUhuru ya ccm? au kuna Uhuru ingine...
Ilikuwa njiani wakati Bashite kamtangaza kuwa ni muuza ngada, lakini akachomoa, hii mbona ndogo tu, mkulu mwenyewe alisema watu wafyatue watoto, sasa huyo bwana anafyatua kosa lake nini?Things fall apart ya gwajima ipo njiani
Arusha ni lissu tuHahahahaaaaaaa.....mambo hayo
Watu wapo nai vyet,kwa upepo wa sasa hata kama ni kweli haiwezi kuwa na nguvu bora wangesubiri subiri
Hizo ni ndoto za alinachaThings fall apart ya gwajima ipo njiani
Tumewagaragaza huko ArushaHuyo asiyekuwa na vyeti anasaidia waathirika wa madawa ila huyo mchungaji anaongeza tu watoto wasio na msingi kisha anawatelekeza kanisa linamskiliza mchungaji ambao akihitaji binti au mama anapiga pu.... sio haki kabisaaa
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Gwajima alisema akichokozwa tena wiki hii atafumuka upya hapendi ujinga
Ila kumpa mimba sio kosa la jinai kufoji vyeti ni kosa la jinai ......
Daudi leta vyeti hatujasahau hivyoo
Hawa ndio wale wapuuzi watumikao na ccm kama makarai ya ujenzi
Akamwambie Bashite alete vyeti kwanza hio tbc/uhuru redio cha chama inatumia nguvu nyingi sana kutetea mtu aliyepata zero
Sikuwahi kucheka tangu sisonje aanze u uchwara ila Leo umenivunja mbavu,huyu katumwa na kina sisonje na bashite,utamu aupate yeye mbona hakuja kusema kiasi cha utamu alichokisikia?nyambaafu.leo niko hapy maana sisonje na mzee wa pollonium wameumbuka TLS,Lisu kitu kingine banaHawa ndio wale wapuuzi watumikao na ccm kama makarai ya ujenzi
Bashite kila mipango yake inakwamaWatu wapo nai vyet,
Hilo LA kuzaa hamna ktu hapo
Kama kwel gwajma hapo atatoa tu mistar ya Bible kuhalalisha mtoto