Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

aliposema Bashite kafoji vyeti mlisema alikua wapi kuongea toka zamani,ameona swala la madawa naye kaanza kumchafua RC

Nasi tuwaulize alikua wapi kusema tangu awali Mimba imekaa miezi 9 mpaka amejifungua mtoto?

Ameona Mzee Gwajima ameongea kuhusu vyeti feki ndo naye kaibuka

Nauliza tena alikua wapi mtu huyu?
 
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.

Kama ni Uhuru Fm ziwezi amini kwanza hiyo ni redio ya mafisiem redio ya chama cha kina bashite so ni mpango
 
Sawa lkn hiyo haiondoi uhakiki wa vyeti vya Bashite.tunataka Bashite atoe vyeti vyote hadharani
 
Kuweni makini huyu jamaa (mtuhumiwa) alisema mkipiga moja yeye anapiga mia.
Na mkishamaliza kutoa hizo tuhuma zenu mlete vyeti.
Usiku mwema.
 
Gwajima itabidi aweke ''PAUSE'' kwanza swala la Daudi Bashite kesho kanisani ili afafanue swala la huyu dada. Daudi Bashite nae atapata ahueni kidogo. Nafikiri uko aliko Daudi anacheka sana 🙂
 
Tumalize kwanza la Bashite, la huyo mama ni very personal kama hajuwi aelekezwe aende usitawi wa jamii watamaliza issue yake kama jambo lake ni kweli. Lakini hata kwa hisia tu hamna kitu hapo ndo maana kapeleka kwenye hiyo Redio.Na hili swala la Bashite lisipo shughurikiwa mapema, tutashuhudia kila aina ya Ngwala zikipigwa
Wacheni upumbavu hapa. Huyu jamaa ni mzinzi sana. Kama aliweza kuitatiza ndoa ya Mbasha anashindwaje kula kondoo wake wengine bwana. Bashite sawa. Lakini na haya anapaswa ayajibu kwa sababu si sawa kwake kuwala kondoo anaowachunga.
 
Sheria zetu hazimzuii askofu kumpa mimba mwanamke. Kama mtoto hatunzwi, kwa hiyo Uhuru FM ameenda huko ili wakamtunze huyo mtoto?

Kosa la mtu mwingine halifuti la mtu mwingine.
 
Shilawadu mbona yale ya bashite hawayasemi ila ya gwajima fasta tu hahahaha
uhuru fm swala la gwajima na huyo dada ni bora kuliko la vyeti na tuhuma za rushwa za makonda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona siwaelewi hawa watu hahahahahaja
 
Lakini kwanini huyo anayemhoji huyu dada afunike uso?
Anaogopa nini kama ni habari ya kweli?
Kwa nini huyo mwanamke aende redioni na si ustawi wa jamii kama ni suala la kutelekezwa?
Na kwa nini ni sasa ilihali jambo lenyewe ni la kitambo?
 
Back
Top Bottom