Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Alimbaka?
Alidai kuwa ali-take advantage ya kutafuta msaada kiroho, na kwamba alilazimishwa. Ukweli wa jambo hili mimi sijui aisee, niliripoti tu kilichokuwa kinaendelea baada ya kusikia watu mtaani wanaongelea uwepo wa mama huyo studio. So, hii ni habari tu kama habari nyingine zinazoripotiwa hapa jamvini, ingawa watu wamekuwa na tabia ya kukashifu wanapoguswa baadhi ya watu.
 
Sawa yote najua ni kutaka kumchafua VIP vyeti vipo kweli Bashiteee unalo
 
Waseme yooote sisi tunataka vyeti na usawa.
Sipo upande wa Makonda wala upande wa Gwaj.
Nipo upande wa kumsisitiza mkuu wa wa mkoa kuweka vyeti mezani km huyu kiongozi wa Kenya hapa
50611fa430137e2b2a23a75b2b191855.jpg
 
Mkuu uwe una recognise Source. Kama ni fb page ya Yericko Nyerere pia useme.

Hii movie ime buma!!
 
Alidai kuwa ali-take advantage ya kutafuta msaada kiroho, na kwamba alilazimishwa. Ukweli wa jambo hili mimi sijui aisee, niliripoti tu kilichokuwa kinaendelea baada ya kusikia watu mtaani wanaongelea uwepo wa mama huyo studio. So, hii ni habari tu kama habari nyingine zinazoripotiwa hapa jamvini, ingawa watu wamekuwa na tabia ya kukashifu wanapoguswa baadhi ya watu.
Asante sana mkuu kwa taarifa kiungwana
 
Back
Top Bottom