Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Yan bora wangemchokoza jumatatu.... lakini leo ni jumamosi, kesho siku ya kuongea na wanawe.Wamsafishe na ishu ya magari na jinsi alivyoyapata
Mawingu wanazingua sana, wanasahau bashite muda utafika ataondoka na atakuja mtu waliemuumiza nae alipe kisasi kwao. Poor mawinguYani imetengenezwa balaa.
Na ni mpango wa clouds kumsafisha Bashite.
Vyeti kwanza