Huyu jamaa anataka kutumia kila njia kutaka kujisafisha kuhusu kashfa yake ya ufaulu DUNI ktk elimu yake ya msingi,kati na elimu ya juu.
Hivi leo lipo DHANIO kwamba hata ile clip inayosambaa ktk mitandao ya kijamii ni ama takwa lake au ni SHINIKIZO lake kwa WAPAMBE wake waisambaze ili tu kuwachafua WAFICHUZI wa kashfa kubwa imwandamayo ili eti kwalo iweze ama kupotezwa au kusahauliwa na namna anavyofikilia yeye.
Ktk hilo B.ASHITE na kuhakikishia huwezi kufanikiwa.Kashfa yako i dhahili na pengine ni ya kweli.Maana hujawahi kujitokeza kukanusha!
Bwana mdogo,suluhisho la kashfa yako ni wewe tu kujitokeza ukanushe na kwa ushahidi usiokuwa na shaka.Haya mambo ya kupandikiza watu wajitokeze eti kuwachafua wafichuzi wa kashfa zako,UNAJISUMBUA!Na pengine unatia mafuta ya petroli ktk moto.Ni HATARI!
Jitokeze ujibu kashfa na sivinginevyo bwana mdogo.