Wanawake kama hawa wanakosa busara sana. Kama baba haleti matunzo ya mtoto, hatua ya kwanza unaongea nae. Pili unaongea na wazee wake/wachungaji wenzake(kwa case ya Gwajima). Tatu unaenda ustawi wa jamii. You
NEVER go to the press because no matter what, you are tied together through the kid. Press inapenda hot news, baada ya mwaka habari kwamba Gwajima ana mtoto wa nje ya ndoa haitakuwa na uzito tena na utakosa pa kukimbilia. Kwenda kwenye press inatakiwa iwe silaha ya mwisho au risasi ya mwisho-kumbuka silaha/risasi ya mwisho haitumiki; kazi yake ni kutishia adui tu.
Kuhusu Gwajima, watu wengi ambao wako sober hawaamini mafundisho na mwenendo wa Gwajima. Ni kama mhubiri flani mjanja mjanja. Kwa pesa aliyonayo Gwajima, mmoja kati ya wanawake 100 ndio hatajipendekeza na kumkataa. Women are all about fame and money. Mimi sihangai kwa Gwajima kuzini nje ya ndoa yake. Hana ukuu wowote kulinganisha na watu wa mungu waliokuwa wanaongea na Mungu na ambao walitumbukia dhambini kama ifuatavyo:
- Baba wa imani Ibrahimu alimgonga beki tatu wake na kusababisha msukosuko kwa familia. Mimi binafsi, beki tatu namla kwa macho-sitarajii ataiona chupi yangu.
- Mfalme Daudi alimla mke wa askari wake wakati mumewe yuko vitani halafu akataka kumpakazia ili ionekane mumewe ndo ametia mimba, lakin ya Mungu mengi ikashindikana.
- Solomon mwenye hekima na busara tele alikuwa na wake 700 na mademu 300(usiniulize alikuwa anawashughulikiaje wakati vijana mnawasumbua masai na mitishamba ya kuongeza nguvu).
Sitetei tuhuma za Gwajima, lakini namuelewa maana mtu wa Mungu hana kilevi kingine chochote
😀 zaidi ya utamu. Sasa kama timu ya Makonda inadhani hii ni counterstrike, basi wajue kosa la Gwajima ni kutenda dhambi ambayo atahukumiwa na Mungu, lakini yeye Madereva ametenda
kosa la jinai ambalo adhabu yake ni miaka 7 (na faini). Kosa la madereva haliwezi kukwepeshwa hata na mkuu (anaweza tu kumsamehe baada ya kuhukumiwa na mahakama) wakati Gwajima anahukumiwa na Mungu.
Gwajima kumtia mtu mimba ni sawa na
mbwa kumuuma mbuzi, lakini mpiganaji wa madawa ya kulevya kuwa na cheti cha kufoji na kupokea hongo za magari kutoka kwa watuhumiwa hiyo ni sawa na
mbuzi kumuuma mbwa.