Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

CCM inafanya mambo ya kitoto..., wanamuanza wenyewe Gwajima akijibu wanasema asemehe.... Uhuru fm ni kituo cha chama inajulikana ilo angalau hata angeenda E-FM ningemuelewa kidogo.
CCM inatetea wahalifu
 
Nibahati sana na nizawadi ya mungu kwa Gwajima kupewa Mtoto wengine wanatafuta hawapati
 
hapo ndio utajua walokole wana matatizo makubwa sana.hahahahahaahaahahaa duh!!
CCM tumewazoea, enzi za DR Slaa walisema pia kapora mke wa mtu, wakamtafuta jamaa mume feki wakampa bata kwa muda uchaguzi ulivoisha tu wakamtupilia mbali.
 
Kijijini nesi,mkunga na mtoa dawa ni mmoja tu.
Toeni hadharani vyeti vya makonda ili nae awa prove wrong kama mnavyojaribu kutetea uzinzi.
Mahita aliumbuka kwa mambo kama haya
 
Halafu kondoo wanazidi kufurika, kesho me mwenyewe najiunga na askofu Gwajima.... mzee wa fact
Mbona Mnafuata kichwa Mchunga Nyinyi Akili zenu Mmemwachia Nani eti Mchungaji Anafufua watu Mbona haendi Mwimbili akafufue watu ila waswahili wanasema Wajinga Ndo waliwao

Binafsi nmezaliwa Ubungo Alivyoanza Mchungaji huyo kuhubiri ya kuwa anauwezo wa kufufua watu waliokufa vifo ambavyo sio vya kawaida wakiwemo Misukule alijaza watu wengi sana hapo kanisani kwake Ila baadae wakaja kumgundua kuwa "Anawacheza Shere " wamemkimbia mmebakia nyinyi Vinga'ng'anizi tena Wageni waulizeni Wenyeji wenu wawape Fununu za huyu Muovu aliyevaa vazi la Uchungaji!!!
 
key issue vyeetii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…