M'bang'ang'walu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 631
- 437
MMkuu pamoja na viroba kupigwa marufuku lakini kuna watu wanavitumia, sasa huyu jamaa na miongoni mwa hao watu.Soma upya maandiko ya Yeriko, usikurupuke. Aliyemtaja kufunika uso ni mwandishi anaemhoji binti, sio binti mwenyewe. Pitia post uliyomnukuu Yeriko hapo juu!
Majini tena bob12 .......ata sijui kama naamin au siaminUnaamini uwepo wa majini?
Mkuu vpi? Umekurupushwa kutoka wapi? Maana umeshindwa kuelewa kabisa kilichoandikwaDuh! Huyu dada amejifunika uso kweli au Yericko ana makengeza!!
Baba alijitahidi asifanye makosa alikuwa anaita Makonda, sasa unajiuliza baba si ndiyo angeita Paul au Daudi-David?Haha umenikumbusha ile clip ya wazazi wa RC ati mama mzazi anamwita mwanae Paulo Makonda...
Kawaida mzazi humwita mtoto wake kwa jina moja tu....
If you can not do it good, try to make it look good...Bill Gate
Haujui kama unaamini au huamini.Majini tena bob12 .......ata sijui kama naamin au siamin
Acha upuuziKuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,
Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.
Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.
Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,
Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,
Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.
Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...
Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.
Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.
Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.
Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?
1. Jina la hospital aliyozaliwa,
2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.
3. Mhahali anapoishi.
4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...
5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?
6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.
7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu
Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::
Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni
Na Yericko Nyerere
Source: Yerico Nyerere Facebook Page
.
Chadema 100 ccm 0 shule ni shule tuKuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,

Yaani na wewe akili yako imeganda. Unaamini huo upuuzi? Jaribu kidogo kutumia akili.Mchungaji anafanya uzinzi ndani ya kanisa lake tena si kwa mwanamke mmoja
Mdada anasema kanisani kwake kuna vyumba tisa vyote anafanyia uzinzi
Tena waumini wakiwa wapo ndani ya kanisa wanafanya ibada mchunga kondoo wao anafanya ngono kwenye vyumba vya kanisa
Alafu anakuja mtu anatetea hii laana ya kuvunja amri ya sita
hii DINI uwenda ikawa ni ya shetani
Kwa sababu wenye hii DINI yao wala awastuki kwa kanisa kuchafuliwa
hama kweli huu ni msiba mkubwa..
Mm ni medical personnel, tena wa level ya juu, ulichokiandika ni sahihi kabisa, na weakness za vaccine pamoja na documentation, ni dhairi kwamba kuna uongo tena wa hali ya juu ulifanyika,Kuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,