Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Vyeti vya clinic vya watoto wa wenzio unavitoa vya kwako vya shele unaficha

Kweli bashite hapo amezihirisha ungosha kwaiyo umeona bonge la revange ulijua unamlipua Gwajima kumbe unajishut back

Le mutuz ndio kakufundisha huu upuuzi co ndio akili zake zilpoishia
 
MAMBO YA AJABU SANA KUMTETEA D.A.B PIA KUNUNUA WATU ETI ASKOFU ACHAFUKE NDO KWANZA ANAZIDI KUIMARIKA SASA OLE WAKE HUYO MTOTO ASIWE WA ASKOFU MTATAJANA HADI ULICHOAHIDIWA NA BASHITE. ......MIMBA SIYO AJABU MAANA ILIINGIA SEHEMU HUSIKA JE CHETI NI BASHITE AU PAUL
 
Ufunuo 16:14
14 Hayo, kwa kweli, ni maneno yanayoongozwa na roho waovu nayo yanafanya ishara, nayo yanakwenda kwa wafalme wa dunia nzima inayokaliwa, ili kuwakusanya pamoja kwa vita vya ile siku kuu ya Mungu Mweza-Yote.
 
Ukitaka kuwa mwongo mwenye mafanikio lazima kwanza uujue ukweli na uuelewe vizuri. Sasa tatizo la bashite ni shule haipo na ushamba, najua sio dhambi kua mbumbumbu ila kilaza anapo pewa madaraka ni aibu kwa aliyetoa hayo madaraka.
 
Haha umenikumbusha ile clip ya wazazi wa RC ati mama mzazi anamwita mwanae Paulo Makonda...
Kawaida mzazi humwita mtoto wake kwa jina moja tu....

If you can not do it good, try to make it look good...Bill Gate
Baba alijitahidi asifanye makosa alikuwa anaita Makonda, sasa unajiuliza baba si ndiyo angeita Paul au Daudi-David?
 
Operation81::The final battle for total discipline
Single Touch Double Manifestation.

Kesho BASHITE ataomba poo.
 
Kuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,

Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.

Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.

Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,

Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,

Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.

Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...

Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.

Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.

Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.

Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?

1. Jina la hospital aliyozaliwa,

2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.

3. Mhahali anapoishi.

4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...

5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?

6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.

7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu

Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::

Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni

Na Yericko Nyerere

Source: Yerico Nyerere Facebook Page

.
a80aee1c729ccd2de071e340762e0f74.jpg
Acha upuuzi
1. Mama yupo tayari kupima DNA. unsemaje?
2. Mtoto na gwajima ni copyright. Au wamefanana KWA bahati mbaya?

Shirikisha ubongo na sio unatumia kucha kufikiri
 
Chadema 100 ccm 0 shule ni shule tu
 
Mchungaji anafanya uzinzi ndani ya kanisa lake tena si kwa mwanamke mmoja
Mdada anasema kanisani kwake kuna vyumba tisa vyote anafanyia uzinzi
Tena waumini wakiwa wapo ndani ya kanisa wanafanya ibada mchunga kondoo wao anafanya ngono kwenye vyumba vya kanisa
Alafu anakuja mtu anatetea hii laana ya kuvunja amri ya sita
hii DINI uwenda ikawa ni ya shetani
Kwa sababu wenye hii DINI yao wala awastuki kwa kanisa kuchafuliwa
hama kweli huu ni msiba mkubwa..
Yaani na wewe akili yako imeganda. Unaamini huo upuuzi? Jaribu kidogo kutumia akili.
 
Kuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,

Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.

Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.

Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,

Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,

Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.

Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...

Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.

Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.

Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.

Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?

1. Jina la hospital aliyozaliwa,

2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.

3. Mhahali anapoishi.

4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...

5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?

6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.

7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu

Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::

Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni

Na Yericko Nyerere

Source: Yerico Nyerere Facebook Page

.
a80aee1c729ccd2de071e340762e0f74.jpg
Mm ni medical personnel, tena wa level ya juu, ulichokiandika ni sahihi kabisa, na weakness za vaccine pamoja na documentation, ni dhairi kwamba kuna uongo tena wa hali ya juu ulifanyika,
Umeenda kitaaluma zaidi, hongerah
 
Gwajima kesho atawasha moto hii ni timu safisha bashite wengine wameenda koromije ila gwajima sio mtu wa mchezo mchezo
 
Michuzi alishaacha kupost habari za huyu mtu Paul Daudi siku nyingi sana.
 
KWA MWENDO HUU BALSHITE UTAKUFA BILA MTOTO NA UTAENDELEA KUPIGA NJE.....BORA GWAJIMA ANASINGIZIWA WEWE JE UNASINGIZIWA MAKARATASI TU UNALIA LIA KM MJUKUU WA RUNGWE?
TOA VYETI VYAKO TENA KUANZIA UNAZALIWA HALAFU BRO GWAJIMA YUKO TAYARI KUPIMA D.N.A
 
Back
Top Bottom