Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

akienda kwenye media ndo anasaidia, ,,from ujauzito ndo aje akatae mtoto leo!!! mbona clouds is damn &drab kiasi hicho!!
 
Sitaweka maneno mengi sana. Mwandiko wa Bashite umejulikana ndiyo mwandiko uliotumika kuandika majina ya wauza unga. Wataalamu wa mwandiko wabaini hilo. Angalia Picha katika kadi.
Hii ndiyo kadi ya kliniki aliyobuni Daud Bashite kwa mtoto wa kusingiziwa kwa Gwajima
.
Huu ndiyo mwandiko halisi wa Daud Bashite.
Daud Bashite wafaaaa
Unapigana vita huku umejificha chini ya nyasi
Wafaaaa.
Kwa hisani ya kubwa la maadui
Mange Kimambi a.k.a Mama Trump
 
Na anatumia Kalamu hiyo hiyo nyeusi kila siku au sio!!
Sio kalamu tuu mkuu angalia mwandiko wa kadi na haya majina
Waambieni watanzania wa sasa sio wa kudanganywa kiboya boya km karne ya 19,na mlaaniwe wote uliopanga huu mchezo.
 
Bavicha, this is too much, inakuaje siasa inawafanya mnakuwa wajinga kiasi hiki?? Kuna miamdiko mingapi duniani?
 
Kazi mnayo

Hivi kabisa huyo Kiongozi mnayemuita jambazi baada ya Vyeti then Magari now ujambazi


Na akili zake timamu afanye haya mliokaa na kutunga?

Ha ha haaaaaaa ajue kupewa rushwa akajikalia kimya wasimpate kuyajua, leo mmetokea wataalamu wa kila taaluma eti nyie ndio mnajua kukagua ha ha haaaaaaaa


Sasa hiyo karatasi hujui hata mbwa anaweza kaa as imezagaa mtandaoni akaandika kukopi mwandiko wake, sababu ndivyo imefanywa.

Ujinga mlionao ni hamko smart, nasema tena vitu mnavyomzushia Mh. Makonda hamko smart kabisaaaaaaa yaani mnatia aibu kuwa watanzania.

Ni kama hamjaenda shule hao wa ngada wanawabeba tu na mnafata mkumbo, mnasikitisha.


Ok kaa chini jifikirie why ufanywe mbululaz?

Eti leo mnamsingizia amefoji vyeti akapita madaraja yote, then today aje aandike kati ya clinic aache yale yamuhimu.....Haaaaaa kwani hamjui kufoji na kupita katika issue ni kutumia akili? So why nyie msio na div 0 ndio mnachemka hivi? Ha ha haaaaaa

Kesho njooni na chu*pi zake na mkewe wanaongwa, na ndala mpaka viatu hata kitanda.

Uongo wenu haujaenda shule kabisaaaaaaaaaa, ni vitukooooooooo.

Waheshimiwa

Makonda oyeeeee, JPM ongeza moto

Nyoosheni vituko vya nchi hiii kabisa

Hapa kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…