Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Cc:-
Pascal Mayalla
Lizabon
Mudawote
Jingalao
Lumumba Buku Saba Fc
 
We ndiyo hujielewi hivi umeandika nini sasa? Na hapo unawahi posho umeshamaliza kazi? Safi sana wahi posho upate hela ya kula siyo tatizo lako waache wenye uelewa wa mambo waje na strong argument
 
Hivi ukiandika unarudi kusoma? Unatuchosha kusoma vitu visivyoeleweka. Wewe unaonekana ni zaidi ya bashite
 
Hizo M sasa duh mule mule
 
huyu jamaa kweli shule ni zero, hamna kabisa humu
 
Mimi nataka nimsikie Leo gwajima akiongea na familia yake. Clouds msipojitoa kwenye kashfa hii mwafaaa
 
Kazi unayo asee ila ninawasiwasi utadumaa kiakili soon maana mambo mengine yapo wazi labisa bora kwa mengine ukae kimya lau kumpisha mwana haramu
 
Kwakweli kamando ivyo ngoja niende kwa mange
 
Ifike mahali wanao mtetea Bashite waone aibu
Wataonaje aibu wakati kitu cha homeboy? Wacha waendelee kutupeleka wanavyotaka kwa kua Watanzania ni waoga na tuko tayari hata kudhalilishwa. Umeona kule Kenya madaktari wa Kenya wanavyowadharau waTanzania? Wamewafananisha na viganga vya kienyeji.
 
Picha limeanza tu stering anakufa ndani ya maua
 
Mpaka sasa nimesha jihakikishia kuwa yule Mama alitumika kumchafua Askofu Gwajima. Sasa watu kama hawa wasiachwe hivi hivi. Huyu atumike kama fundisho kwa wengine wenye Tabia za kutumika na kuchafua watu wenye heshima zao.

Gwajima peleka huyu Mama mahkamani. Wewe ni mtu mkubwa sana. Mpige hata fine ya kama 1bn aliyemtuma atamlipia tu. Akishindwa mweke ndani hata miaka 12.

Hawezi dhalilisha kanisa hivi tumuache bure. Yani hapa kacheza na imani za watu.

Mwanamke yule hana hata aibu. Et tulifanya mapenzi Madhabauni. Yani hta Madhabau hyajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…