bluetooth
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 4,402
- 2,550
sina cha kuongeza zaidi ya kukupa likeWatu mnachunguza,kwa kweli handwritting ni ileile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina cha kuongeza zaidi ya kukupa likeWatu mnachunguza,kwa kweli handwritting ni ileile
Alie Mteuwa Ndio anazidi Kudharaulika kila kuchao
Alie Mteuwa Ndio anazidi Kudharaulika kila kuchao
haaaaaaa leo naenda kanisa la ufufuo na uzimaMpz, hata kanisani hujaenda leo.
Hii kitu imetolewa kwa Mange KimambiKweli jamiiforum INA watu making du yaani ni kweli miandiko inafanana cheki hizo m
We ndiyo hujielewi hivi umeandika nini sasa? Na hapo unawahi posho umeshamaliza kazi? Safi sana wahi posho upate hela ya kula siyo tatizo lako waache wenye uelewa wa mambo waje na strong argumentKazi mnayo
Hivi kabisa huyo Kiongozi mnayemuita jambazi baada ya Vyeti then Magari now ujambazi
Na akili zake timamu afanye haya mliokaa na kutunga?
Ha ha haaaaaaa ajue kupewa rushwa akajikalia kimya wasimpate kuyajua, leo mmetokea wataalamu wa kila taaluma eti nyie ndio mnajua kukagua ha ha haaaaaaaa
Sasa hiyo karatasi hujui hata mbwa anaweza kaa as imezagaa mtandaoni akaandika kukopi mwandiko wake, sababu ndivyo imefanywa.
Ujinga mlionao ni hamko smart, nasema tena vitu mnavyomzushia Mh. Makonda hamko smart kabisaaaaaaa yaani mnatia aibu kuwa watanzania.
Ni kama hamjaenda shule hao wa ngada wanawabeba tu na mnafata mkumbo, mnasikitisha.
Ok kaa chini jifikirie why ufanywe mbululaz?
Eti leo mnamsingizia amefoji vyeti akapita madaraja yote, then today aje aandike kati ya clinic aache yale yamuhimu.....Haaaaaa kwani hamjui kufoji na kupita katika issue ni kutumia akili? So why nyie msio na div 0 ndio mnachemka hivi? Ha ha haaaaaa
Kesho njooni na chu*pi zake na mkewe wanaongwa, na ndala mpaka viatu hata kitanda.
Uongo wenu haujaenda shule kabisaaaaaaaaaa, ni vitukooooooooo.
Waheshimiwa
Makonda oyeeeee, JPM ongeza moto
Nyoosheni vituko vya nchi hiii kabisa
Hapa kazi tu
Huyo ni mgonjwa, ndiomaana wengine kila atakacho kiandika tunakiruka kama haja kubwa njianiunatatizo
Cc: cocochanelIfike mahali wanao mtetea Bashite waone aibu
Hivi ukiandika unarudi kusoma? Unatuchosha kusoma vitu visivyoeleweka. Wewe unaonekana ni zaidi ya bashiteDuh mnasikitisha sana na kufoji
Hata mnaemsingizia kweli ana akili zaidi yenu basi sababu aliweza kufika hadi chuo.
Ila nyie msiotumia akili ona hata herufi ukianzia E unaona majanga, yaani aliyetaka kuandika kumsingizia Makonda as hata Shilawadu hawajausika nacho ndio amekaa kafikiria weeeeeeee kumchafua Makonda akajaribu labda copy 20 ila bado hakuweza
Ha ha haaaaaaaaaaaaaa
Hamjui kuwa mtu kufoji ni kipaji? So etu alupata 0 ndio mkata kuwaonyesha hao mbulu wenu kuwa na hicho nao wanakubaki.
JPM njoo uanze kuchapa watu viboko wanatia aibu watanzania
Makonda oyeeeeeeeee
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa
Uongo wa div 1 students ha ha ha haaaaaaaaaa
Kabila lake ms..........Asiejua kuchagua.......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hizo M sasa duh mule muleSitaweka maneno mengi sana. Mwandiko wa Bashite umejulikana ndiyo mwandiko uliotumika kuandika majina ya wauza unga. Wataalamu wa mwandiko wabaini hilo. Angalia Picha katika kadi.![]()
Hii ndiyo kadi ya kliniki aliyobuni Daud Bashite kwa mtoto wa kusingiziwa kwa Gwajima
.![]()
Huu ndiyo mwandiko halisi wa Daud Bashite.
Daud Bashite wafaaaa
Unapigana vita huku umejificha chini ya nyasi
Wafaaaa.
Kazi unayo asee ila ninawasiwasi utadumaa kiakili soon maana mambo mengine yapo wazi labisa bora kwa mengine ukae kimya lau kumpisha mwana haramuDuh mnasikitisha sana na kufoji
Hata mnaemsingizia kweli ana akili zaidi yenu basi sababu aliweza kufika hadi chuo.
Ila nyie msiotumia akili ona hata herufi ukianzia E unaona majanga, yaani aliyetaka kuandika kumsingizia Makonda as hata Shilawadu hawajausika nacho ndio amekaa kafikiria weeeeeeee kumchafua Makonda akajaribu labda copy 20 ila bado hakuweza
Ha ha haaaaaaaaaaaaaa
Hamjui kuwa mtu kufoji ni kipaji? So etu alupata 0 ndio mkata kuwaonyesha hao mbulu wenu kuwa na hicho nao wanakubaki.
JPM njoo uanze kuchapa watu viboko wanatia aibu watanzania
Makonda oyeeeeeeeee
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa
Uongo wa div 1 students ha ha ha haaaaaaaaaa
Wataonaje aibu wakati kitu cha homeboy? Wacha waendelee kutupeleka wanavyotaka kwa kua Watanzania ni waoga na tuko tayari hata kudhalilishwa. Umeona kule Kenya madaktari wa Kenya wanavyowadharau waTanzania? Wamewafananisha na viganga vya kienyeji.Ifike mahali wanao mtetea Bashite waone aibu