Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.

Ccm wanatapa tapa tu kwani kuzaa na mtu ni dhambi?au alimbaka?
 
Huyo asiyekuwa na vyeti anasaidia waathirika wa madawa ila huyo mchungaji anaongeza tu watoto wasio na msingi kisha anawatelekeza kanisa linamskiliza mchungaji ambao akihitaji binti au mama anapiga pu.... sio haki kabisaaa
 
Askofu kakosea kabisa....kwanza amemenjoy huyo dada na pili akamtelekeza bila hata kutuma matumizi ya kulea hio mimba.....

Kwakweli haikubaliki hata kidogo....halafu mtoto copyright Gwajima yani....

Anaifundisha nini jamii? Askofu unalala na watumishi wako Kanisani....haikubaliki
Hivi vitu vya kawaida, dawa ni toba. Hawa maaskofu ni binadamu Kama wengine. Anyway, tuendelee na Bashite. Huyu amevunja sheria za nchi na adhabu zake ziko wazi.
 
Anadai alikuwa muumini wake. Mtoto ni Gwajima copyright. Anadai alivyomfuata askofu akamtishia kumfunga. Mtoto anaitwa Max
Hiyo ni mambo yao ya faragha hayatuhusu sisi tunamhitaji Bashite atuwekee vyeti
 
Askofu kakosea kabisa....kwanza amemenjoy huyo dada na pili akamtelekeza bila hata kutuma matumizi ya kulea hio mimba.....

Kwakweli haikubaliki hata kidogo....halafu mtoto copyright Gwajima yani....

Anaifundisha nini jamii? Askofu unalala na watumishi wako Kanisani....haikubaliki
Kosa ni lipi hapo au na wewe ni bashit? Basi mkamshitaki mahakamani afutwe uchungaji
 
Gwajima alisema akichokozwa tena wiki hii atafumuka upya hapendi ujinga

Ila kumpa mimba sio kosa la jinai kufoji vyeti ni kosa la jinai ......
Daudi leta vyeti hatujasahau hivyoo
Nikweli mkuu baada ya kutoka Arusha kwenye TLS tunaendelea na vyeti vya Bashite
 
Eti mtoto mjanjamjanja kama gwajima jamani nafyaaaaaz[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
KUNA DADA AITWAE MAMA MAX YUPO KATIKA REDIO UHURU AKITOA USHUHUDA WA KUTIWA UJAUZITO NA KUZALISHWA NA ASKOFU MAARUFU KWA KUDANDIA NA KUROPOKA HOVYO , SASA NA HILI NALO ALIVALIE NJUDA HUKO KANISANI, TAPELI BIN FUSKA MKUBWA
Huyo Dada kapewa shilingi ngapi kuzusha ufirauni huo?
 
Ngoja tuone kama atakuja kuandaa "misa " ya kumjibu na huyo mama.
maana huwa anatuambia yeye kama baba wa familia akishambuliwa
ni lazima ajibu mapigo. Hivyo tunasubilia majibu yake yatavyokuwa, maana
jamaa kwa kumwaga povu hajambo , utafikili aliwahi kuwa TEAM shilawadu.
Tunahitaji vyeti
 
Back
Top Bottom