Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Aaaaaaaa!!!!,inaonekana ni ya ukweli bwana,na mtoto anaonekana anamfanana fanana vile.
Kuzaa siyo dhambi ila kufoji vyeti na kujipatia mshahara kwa kumdanganya muajiri ndio unastahili kifungo
 
Kwani huyo mwanafunzi?

Kwani kuzaa ni dhambi? Kama alimpelekea mwenyewe alitegemea nini?
 
Ya mwanamke yule wa mrema mwaka 1995 sijui yaliishia wapi na yule mwanamke alienda wapi. Amaa kweli zimwi la njaa lina nguvu nyingi sana na linatisha mno. Huyu muda si mrefu atapotea kama wa mrema alivyopotea. Njaaa pepo kuu linadrive mapepo mengi.
 
Mola atajitetea mwenyewe kwenye hii issue!
 
mwambie huyo mama arudishe mtoto wangu nyumbani mimi namtafuta kumbe yeye yupo uko mwambie alete mtoto [HASHTAG]#baba[/HASHTAG] mzazi baba
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Bashite weka vyeti.huwezi kutudanganya kwakutumia radio ya vichaa.
 
Hayo ya mimba sio kosa la jinai sisi tunataka vyeti huo upuuzi wenu peleka Kolomije
 
Back
Top Bottom