Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Kuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,

Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.

Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.

Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,

Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,

Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.

Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...

Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.

Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.

Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.

Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?

1. Jina la hospital aliyozaliwa,

2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.

3. Mhahali anapoishi.

4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...

5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?

6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.

7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu

Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::

Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni

Na Yericko Nyerere

Source: Yerico Nyerere Facebook Page

.
a80aee1c729ccd2de071e340762e0f74.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha basi wewe ni drug dealer....yaani Rais amuondoe Makonda kisa nyie wauza unga kumuanzishia vita mteule wake baada ya kuwakurupusha mchana kweupe mkiuza unga....poleni na nendeni mlitumie Bunge limuondoe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na badoo Sindanoo haijawaingiaa vizuriii..[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kuna watu ni kama Bata, ukimbeba lazima akunyee. Anayembeba madereva ana moyo.
 
sasa bashite si bora angemchukua huyo mtoto awe wake maana nasikia huu mwaka wa kumi kwenye ndoa lakini hana hata mtoto wa kusingiziwa

usiombe

unaweza hamisha hiyo laana kwa watoto wako

tubu mkuu, furahisha genge inaponza

shukuru unao, ombea yasiwapate watoto wako
 
Kuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,

Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.

Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.

Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,

Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,

Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.

Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...

Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.

Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.

Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.

Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?

1. Jina la hospital aliyozaliwa,

2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.

3. Mhahali anapoishi.

4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...

5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?

6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.

7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu

Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::

Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni

Na Yericko Nyerere

Source: Yerico Nyerere Facebook Page

.
a80aee1c729ccd2de071e340762e0f74.jpg
Mikakati hiyo ya Daud Bashite.sasa amechokoza.ngoja niende kanisan nkapate ubuyu
 
Yani daud angekuwa na akili asinge endelea ubishi mpaka hapo ni dhahili anatafuta mlango wa kutokea haoni anagonga ukuta.kwanza amefanya sadaka kule kwa bishop ziwe nyingi pili kamshika simba pumbu,tutajua hadi siri za aibu juu yake
 
Soma upya maandiko ya Yeriko, usikurupuke. Aliyemtaja kufunika uso ni mwandishi anaemhoji binti, sio binti mwenyewe. Pitia post uliyomnukuu Yeriko hapo juu!
Mafisiem macho yao sio ya kuonea.
 
Kijijini nesi,mkunga na mtoa dawa ni mmoja tu.
Toeni hadharani vyeti vya makonda ili nae awa prove wrong kama mnavyojaribu kutetea uzinzi.
Mahita aliumbuka kwa mambo kama haya
Huyo dada amekuambia wameishi DSM kanisa likiwa Kawe, Kawe ni KIJIJINI? Ubashite ni mzigo.
 
Kuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,

Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.

Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.

Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,

Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,

Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.

Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...

Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.

Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.

Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.

Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?

1. Jina la hospital aliyozaliwa,

2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.

3. Mhahali anapoishi.

4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...

5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?

6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.

7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu

Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::

Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni

Na Yericko Nyerere

Source: Yerico Nyerere Facebook Page

.
a80aee1c729ccd2de071e340762e0f74.jpg
Mimi hata wangesema video hiyo ni halali sijui kadi ya stationary,
Hebu kaka Bashite tumalize basi suala lako kwanza "lete vyeetiiii.!!!"
Hayo ya mtoto baadaye[emoji119]
 
kwa sisi ambao tunapelekaga watoto wetu clinic....hiyo kadi ni kizunguzungu
 
Back
Top Bottom