Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Sina uhakika kama huu uzi utaendelea kuwepo kwa muda mfupi ujao. Maana skuizi ukimtaja mwana wa mfalme, lazima viranja waufute uzi
 
Hapo ni chapa ya chapa!! Lakini hata cheti chenyewe hakina jina la Kiliniki wala namba ya mtoto. Kazoea kughushi sasa anaghushi hadi vitu asivyokuwa na utaalamu navyo!!


itakuwa anasubiria kwenda Kuala maakamani kuwa mtoto haendagi cliniki wana hana namba kama alivyofanya kwake
 
Mwisho wa ubaya aibu uyuu jamaa anayeitwa bashite hana akili kabisa mkuu kaamua kum'beba badala likae kimya linazidi kujichafu kweli zero ni zero tu kuna video nimeiona uko istar ni aibu tu hamna namna atolewe tu
 
Bavicha, this is too much, inakuaje siasa inawafanya mnakuwa wajinga kiasi hiki?? Kuna miamdiko mingapi duniani?
FB_IMG_1489784733692.jpg
 
Siku hizi bashite ni nurse wa kushughulikia wanawake wajawazito na watoto wachanga?? Hosp gan hiyo?? mbona haina jina la hosp?? Duh,hii kali sana.
 
Kazi mnayo

Hivi kabisa huyo Kiongozi mnayemuita jambazi baada ya Vyeti then Magari now ujambazi


Na akili zake timamu afanye haya mliokaa na kutunga?

Ha ha haaaaaaa ajue kupewa rushwa akajikalia kimya wasimpate kuyajua, leo mmetokea wataalamu wa kila taaluma eti nyie ndio mnajua kukagua ha ha haaaaaaaa


Sasa hiyo karatasi hujui hata mbwa anaweza kaa as imezagaa mtandaoni akaandika kukopi mwandiko wake, sababu ndivyo imefanywa.

Ujinga mlionao ni hamko smart, nasema tena vitu mnavyomzushia Mh. Makonda hamko smart kabisaaaaaaa yaani mnatia aibu kuwa watanzania.

Ni kama hamjaenda shule hao wa ngada wanawabeba tu na mnafata mkumbo, mnasikitisha.


Ok kaa chini jifikirie why ufanywe mbululaz?

Eti leo mnamsingizia amefoji vyeti akapita madaraja yote, then today aje aandike kati ya clinic aache yale yamuhimu.....Haaaaaa kwani hamjui kufoji na kupita katika issue ni kutumia akili? So why nyie msio na div 0 ndio mnachemka hivi? Ha ha haaaaaa

Kesho njooni na chu*pi zake na mkewe wanaongwa, na ndala mpaka viatu hata kitanda.

Uongo wenu haujaenda shule kabisaaaaaaaaaa, ni vitukooooooooo.

Waheshimiwa

Makonda oyeeeee, JPM ongeza moto

Nyoosheni vituko vya nchi hiii kabisa

Hapa kazi tu
Leo mkuu umeandika kwa hasira hadi umetisha.
 
Sitaweka maneno mengi sana. Mwandiko wa Bashite umejulikana ndiyo mwandiko uliotumika kuandika majina ya wauza unga. Wataalamu wa mwandiko wabaini hilo. Angalia Picha katika kadi.
23f155d84622c92f87944506e610b5ca.jpg

Hii ndiyo kadi ya kliniki aliyobuni Daud Bashite kwa mtoto wa kusingiziwa kwa Gwajima
16fb9b46c9761748180f6ae4f9415f76.jpg
.
Huu ndiyo mwandiko halisi wa Daud Bashite.
Daud Bashite wafaaaa
Unapigana vita huku umejificha chini ya nyasi
Wafaaaa.
Bashite anatia aibu
 
Back
Top Bottom