Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni chapa ya chapa!! Lakini hata cheti chenyewe hakina jina la Kiliniki wala namba ya mtoto. Kazoea kughushi sasa anaghushi hadi vitu asivyokuwa na utaalamu navyo!!
Asiejua kuchagua.......[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hapo tunasema sale sale maua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni handwriting ya mtu mmoja tofauti ni moja kalaza moja kasimamisha
Ujinga wa Tembo kujificha kwenye mti wa kisamvu!!Ni handwriting ya mtu mmoja tofauti ni moja kalaza moja kasimamisha
Bavicha, this is too much, inakuaje siasa inawafanya mnakuwa wajinga kiasi hiki?? Kuna miamdiko mingapi duniani?
Anajitoaga ufahamu yule, na nina mashaka Dish lisha kaa tenge....[emoji23] [emoji23]Hawezi kuja[emoji23]
Leo mkuu umeandika kwa hasira hadi umetisha.Kazi mnayo
Hivi kabisa huyo Kiongozi mnayemuita jambazi baada ya Vyeti then Magari now ujambazi
Na akili zake timamu afanye haya mliokaa na kutunga?
Ha ha haaaaaaa ajue kupewa rushwa akajikalia kimya wasimpate kuyajua, leo mmetokea wataalamu wa kila taaluma eti nyie ndio mnajua kukagua ha ha haaaaaaaa
Sasa hiyo karatasi hujui hata mbwa anaweza kaa as imezagaa mtandaoni akaandika kukopi mwandiko wake, sababu ndivyo imefanywa.
Ujinga mlionao ni hamko smart, nasema tena vitu mnavyomzushia Mh. Makonda hamko smart kabisaaaaaaa yaani mnatia aibu kuwa watanzania.
Ni kama hamjaenda shule hao wa ngada wanawabeba tu na mnafata mkumbo, mnasikitisha.
Ok kaa chini jifikirie why ufanywe mbululaz?
Eti leo mnamsingizia amefoji vyeti akapita madaraja yote, then today aje aandike kati ya clinic aache yale yamuhimu.....Haaaaaa kwani hamjui kufoji na kupita katika issue ni kutumia akili? So why nyie msio na div 0 ndio mnachemka hivi? Ha ha haaaaaa
Kesho njooni na chu*pi zake na mkewe wanaongwa, na ndala mpaka viatu hata kitanda.
Uongo wenu haujaenda shule kabisaaaaaaaaaa, ni vitukooooooooo.
Waheshimiwa
Makonda oyeeeee, JPM ongeza moto
Nyoosheni vituko vya nchi hiii kabisa
Hapa kazi tu
Aiseeeee........[emoji15] [emoji15] [emoji15]Umejuaje kuwa huu ni mwandiko wake?
Unapoamua kufanya vita ya propaganda you need to be very smart na sitegemei aliyefoji cheti to be that smart. Mwisho ni aibu iliyo kuu
Hapa ni the home of great thinkersKweli jamiiforum INA watu making du yaani ni kweli miandiko inafanana cheki hizo m
Bashite anatia aibuSitaweka maneno mengi sana. Mwandiko wa Bashite umejulikana ndiyo mwandiko uliotumika kuandika majina ya wauza unga. Wataalamu wa mwandiko wabaini hilo. Angalia Picha katika kadi.![]()
Hii ndiyo kadi ya kliniki aliyobuni Daud Bashite kwa mtoto wa kusingiziwa kwa Gwajima
.![]()
Huu ndiyo mwandiko halisi wa Daud Bashite.
Daud Bashite wafaaaa
Unapigana vita huku umejificha chini ya nyasi
Wafaaaa.