MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mwanamama na kada maarufu wa chama cha mapinduzi amepatwa na mshituko mkubwa baada ya kusikia mwenyekiti wa chama lazima awe Magufuli, mtu wa karibu wa mwanamama huyo anadai kada huyo wa siku nyingi alitamani sana mzee JK kipenzi cha watu aendelee kuwa mwenyekiti.
Watanzania wenzangu tunaombwa tumuweke Wema katika maombi yetu ya kila siku ili aweze kupona na kurudia hali yake ya kawaida
Kwa usichana upi?Huyo ni msichana wewe sio mwanamama
Bado mbichi kabisaKwa usichana upi?
Ana miaka 19Ana miaka? Sema tu ni kwa sababu lugha yetu adhimu ya kiswahili haina misamiati ya kutosha ila huyo kapita rika la usichana ila sikushangai jina tu screpa ni shida
Na mie nasoma.. "Jua litakapochomoza...Neno " Maombi " limekuwa maarufu sana awamu hii ya tano.
Huyu nae eti alikuwa na matumaini ya kuja kuwa Mbunge?
Ngoja niendelee kusoma novel yangu iitwayo " Usiku Utakapokwisha "
Ukiimaliza mkuu uniazime tafadhaliNeno " Maombi " limekuwa maarufu sana awamu hii ya tano.
Huyu nae eti alikuwa na matumaini ya kuja kuwa Mbunge?
Ngoja niendelee kusoma novel yangu iitwayo " Usiku Utakapokwisha "
Mwana mama wasichana wana17Huyo ni msichana wewe sio mwanamama
Msichana.?? Ubamaanisha wema ni bikra.??Huyo ni msichana wewe sio mwanamama