Mwanamama Wema Sepetu,augua ghafla,alazwa ni baada ya kusikia ni lazima Magufuli awe m/kiti

Mwanamama Wema Sepetu,augua ghafla,alazwa ni baada ya kusikia ni lazima Magufuli awe m/kiti

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
13740991_150245318733699_1649896424_n.jpg

Mwanamama na kada maarufu wa chama cha mapinduzi amepatwa na mshituko mkubwa baada ya kusikia mwenyekiti wa chama lazima awe Magufuli, mtu wa karibu wa mwanamama huyo anadai kada huyo wa siku nyingi alitamani sana mzee JK kipenzi cha watu aendelee kuwa mwenyekiti.

Watanzania wenzangu tunaombwa tumuweke Wema katika maombi yetu ya kila siku ili aweze kupona na kurudia hali yake ya kawaida.
 
13740991_150245318733699_1649896424_n.jpg

Mwanamama na kada maarufu wa chama cha mapinduzi amepatwa na mshituko mkubwa baada ya kusikia mwenyekiti wa chama lazima awe Magufuli, mtu wa karibu wa mwanamama huyo anadai kada huyo wa siku nyingi alitamani sana mzee JK kipenzi cha watu aendelee kuwa mwenyekiti.
Watanzania wenzangu tunaombwa tumuweke Wema katika maombi yetu ya kila siku ili aweze kupona na kurudia hali yake ya kawaida

Kwa hiyo dawa yake ya kupona ni JK kurudi kuwa mwenyekiti wa ccm na si vinginevyo - hiyo drip ni kutuliza tu. Huu ni mshituko baada ya matokeo kutangazwa au vipi?
 
Neno " Maombi " limekuwa maarufu sana awamu hii ya tano.

Huyu nae eti alikuwa na matumaini ya kuja kuwa Mbunge?

Ngoja niendelee kusoma novel yangu iitwayo " Usiku Utakapokwisha "
Na mie nasoma.. "Jua litakapochomoza...

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama vipi si bora ahamie CUF tu kwa Maalim Seif.
 
Mimi nasubiri nione ile tabia ya wasanii kupageuza ikulu kama location yao ya kuchukulia picha za kuweka instagram
 
Labda ile ya kudanganyia Idris bado yupo nae inamsuta, ukijumlisha na chenji za sisiem, ukijumlisha na kukosa bwana, ukijumlisha na awamu ya maisha magumu pesa haimwagwi, ukijumlisha mbeba pochi na mnanii wake Petit karudiana na mkewe, ukijumkisha na kutojielewa, ukijumlisha na kusoma elimu ya kasi aitakayo
Raisi hata kupata vyeo sisiem na kadhalika lazima yakiyomtokea...atulie atapona.

Oooh nilisahau, na dadake wa mitandaoni na kujaribu kute kutaka kuvunja mahusiano ya Chibu, kwa jinsi alivyotegemea Mrs Chibu ataachwa..mara kumbe uongo...na kupiga kote miziki ya Chibu snapuchati pati ya juzi haikujaza n.k.
 
Back
Top Bottom