TANZIA Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kiarabu, Prince Al-Waleed aliingia kwenye koma tangu mwaka 2005 baada ya kupata jeraha la kichwa kufuatia ajali ya gari wakati akiwa anasoma nchini Uingereza. Tangu ajali hiyo, alikuwa akipatiwa matibabu ya muda mrefu katika Hospitali ya King Faisal iliyopo Riyadh.

Screenshot_2025_0720_050255.jpg
 
✍️| @errymars_

#ManaraTV
#ManaraTVUpdates
Mnavyoandika is not professional
 
Back
Top Bottom