Coma ni hali ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ambapo mtu hawezi kuamka au kujibu vichocheo vya kawaida kama mwanga, sauti, au hata maumivu. Ingawa mtu huwa hai, ubongo wake hufanya kazi kwa kiwango cha chini sana(Coma: ni nini, hatua na dawa "1").Coma ni nini kwanza?
Nilikuwa namjaza kwenye mfumoComa ni hali ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ambapo mtu hawezi kuamka au kujibu vichocheo vya kawaida kama mwanga, sauti, au hata maumivu. Ingawa mtu huwa hai, ubongo wake hufanya kazi kwa kiwango cha chini sana(Coma: ni nini, hatua na dawa "1").
Sababu za mtu kuingia kwenye coma
Jeraha la kichwa – ajali au kupigwa kichwani
Kiharusi– mtiririko wa damu kwenye ubongo kukatizwa
Kisukari– viwango vya sukari kuwa juu sana au chini sana
Maambukizi ya ubongo- kama meningitis au encephalitis
Kuzidisha dawa au pombe
Nani huyoNilikuwa namjaza kwenye mfumo
Nani huyo
Kiuhalisia alifariki miaka 20 iliyopita wakamtunza hadi sasa ndo wameamua kumzika.
Wingi wa mali siyo kigezo cha maisha.
Sheria ya kiislam ni kumzika mtu soon after his/her death; hi imekaaje?
Kweli pesa sio kila kitu. Unakula bata lakini huku una mtoto yuko kwenye Koma kwa miaka 20? DaahMwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kiarabu, Prince Al-Waleed aliingia kwenye koma tangu mwaka 2005 baada ya kupata jeraha la kichwa kufuatia ajali ya gari wakati akiwa anasoma nchini Uingereza. Tangu ajali hiyo, alikuwa akipatiwa matibabu ya muda mrefu katika Hospitali ya King Faisal iliyopo Riyadh.
View attachment 3411742
Hapana Mkuu wala sio pesa huyu ninaemjua alikuwa 🇬🇧 na tumemzika hapaAmekaa muda mrefu nadhani sababu wanajiweza kipesa na wana imani ingekuwa UK zamani case wangepleka mahakamani life support machines ziondolewe ili apumzike.
Rip...Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kiarabu, Prince Al-Waleed aliingia kwenye koma tangu mwaka 2005 baada ya kupata jeraha la kichwa kufuatia ajali ya gari wakati akiwa anasoma nchini Uingereza. Tangu ajali hiyo, alikuwa akipatiwa matibabu ya muda mrefu katika Hospitali ya King Faisal iliyopo Riyadh.
View attachment 3411742
miaka 20 iliyopita alikuwa na miaka 13, kwa huo umri wa miaka 13 alikuwa na hizo ndevu?Kiuhalisia alifariki miaka 20 iliyopita wakamtunza hadi sasa ndo wameamua kumzika.
Wingi wa mali siyo kigezo cha maisha.
Miaka 20 mingi hivyo!!? Africa week tu inatosha kupewa RIP hasa hizi hospital za CCMKweli kabisa,20 yrs uko hospital,kwa Africa washakuua
Unconsciousness is equal to death,Being in coma does not mean a person is dead,coma means unconsciousness,individual in a coma cannot be awakened,medical care is provided to support bodily function.
Ooh! Mungu wanguBeing in coma does not mean a person is dead,coma means unconsciousness,individual in a coma cannot be awakened,medical care is provided to support bodily function.
Kiharusi/StrokeComa ni nini kwanza?
ALisema hivyo sababu anauwaKila nafsi itaonja umauti..
Mwingine wa kudemka akasema kifo ni kifo tu.