The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Clip zakutengeneza zile,zilisambaa sana kwenye social media ila familia yake walikanusha.Kuna video nimeona.......sema sikumbuki site
Clip zakutengeneza zile,zilisambaa sana kwenye social media ila familia yake walikanusha.Kuna video nimeona.......sema sikumbuki site
Being in coma does not mean a person is dead,coma means unconsciousness,individual in a coma cannot be awakened,medical care is provided to support bodily function.Sheria ya kiislam ni kumzika mtu soon after his/her death; hi imekaaje?
Acha kabisa it's scary Dunia sio mahala salama kabisa ni Basi tu we have no choiceKuna mitihani ya dunia,omba isikukute
Kuna jamaa alilala coma kwa miaka 20 na familia ikiwa nae mda wote huoUzima ni zawadi kubwa kutoka Kwa Mungu.hyo coma sio mchezo
Kuna bondia pia nadhani ni wa South Africa alipata coma wakamtunza miaka mingi.Kuna jamaa alilala coma kwa miaka 20 na familia ikiwa nae mda wote huo
Leo binadamu wanacheza na uhai wa wenzao
Mtu anayewaza kujiua akiwa mzima kisa madeni au mwanamke sijui uwa analiwaza hili jambo?Kuna jamaa alilala coma kwa miaka 20 na familia ikiwa nae mda wote huo
Leo binadamu wanacheza na uhai wa wenzao
So sadKuna bondia pia nadhani ni wa South Africa alipata coma wakamtunza miaka mingi.
Inasikitisha sanaMapema tu,
Kuna madogo fulani pale tabora waliamua kumtanguliza babu yao kwa kumyonga baada ya kuugua kwa muda mrefu bila kupona, gharama ziliwashinda
Binadamu ni wa ajabu sana, na haya yanatokea Ndio maana tunaambiwa daima angalia dhaifu kuliko weweMtu anayewaza kujiua akiwa mzima kisa madeni au mwanamke sijui uwa analiwaza hili jambo?
Amekaa muda mrefu nadhani sababu wanajiweza kipesa na wana imani ingekuwa UK zamani case wangepleka mahakamani life support machines ziondolewe ili apumzike.Binadamu ni wa ajabu sana, na haya yanatokea Ndio maana tunaambiwa daima angalia dhaifu kuliko wewe
Hivi ukiwa kwenye koma,mwili unaendelea kukua na kupata changes mbalimbali kama balehe kama ulikuwa bado hujapata?Apumzike kwa amani
Mkuu nyundo naona hizo changes unaweza kupata sababu mwili bado uko haiHivi ukiwa kwenye koma,mwili unaendelea kukua na kupata changes mbalimbali kama balehe kama ulikuwa bado hujapata?
Mtihani ni nini mkuu?Kuna mitihani ya dunia,omba isikukute
Coma ni nini kwanza?Sheria ya kiislam ni kumzika mtu soon after his/her death; hi imekaaje?