Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Mnavyoandika is not professionalMwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kiarabu, Prince Al-Waleed aliingia kwenye koma tangu mwaka 2005 baada ya kupata jeraha la kichwa kufuatia ajali ya gari wakati akiwa anasoma nchini Uingereza. Tangu ajali hiyo, alikuwa akipatiwa matibabu ya muda mrefu katika Hospitali ya King Faisal iliyopo Riyadh.
✍️| @errymars_
#ManaraTV
#ManaraTVUpdates
Ilitakiwa iandikwe vipi kamarada?Mnavyoandika is not professional
Ni kweli ila yasimkute maskini, hakuna rangi ataacha onaKuna mitihani ya dunia,omba isikukute
Kweli kabisa,20 yrs uko hospital,kwa Africa washakuuaNi kweli ila yasimkute maskini, hakuna rangi ataacha ona
Mapema tu,Kweli kabisa,20 yrs uko hospital,kwa Africa washakuua
Haha hahaMnavyoandika is not professional
Aliamka huyu......na kutembea akatembea ..........sema tu ni kama alikuwa bado hayuko sawa....... fit fisical fitKiuhalisia alifariki miaka 20 iliyopita wakamtunza hadi sasa ndo wameamua kumzika.
Wingi wa mali siyo kigezo cha maisha.
Hii haikua habari ya kweli,ilikua ni uzushi na ilikanushwa na familia ya muhusika,Prince hakuwahi kuamka kwa zaidi ya miaka 20Aliamka huyu......na kutembea akatembea ..........sema tu ni kama alikuwa bado hayuko sawa....... fit fisical fit
Kuna video nimeona.......sema sikumbuki siteHii haikua habari ya kweli,ilikua ni uzushi na ilikanushwa na familia ya muhusika,Prince hakuwahi kuamka kwa zaidi ya miaka 20
Sheria ya kiislam ni kumzika mtu soon after his/her death; hi imekaaje?Kiuhalisia alifariki miaka 20 iliyopita wakamtunza hadi sasa ndo wameamua kumzika.
Wingi wa mali siyo kigezo cha maisha.