Mashao lole
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 474
- 481
Wamepatikana haswa! Wameanza kusema " brown girl in the house "Naona Harry anaweka History nyingine ya kuoa commoner lakini Meghan ni to the core.
Manake ni Mmarekani, divorcee halafu ana damu nyeusi.
Royal family wamepatikana haswaa! [emoji3]
Haaa haaa....sugu la goti linamhusu!
Ila nimemfatilia Meghan sana kuna kitu nimegundua! Yaani ni haamini kwa liliotokea kwenye maisha yake ( kuolewa na harry)... Halafu kitu kingine ana unafiki fulani hivi wa kujipendekeza na kujifanya mpole, full kudeka haaaaa haaaaa shikamoo Meghan kwa unafiki huu, ataweza kukopi tuu, na atadumu na Harry kwa navyoona!
Ila kipunguze kucheka cheka na interruption zisizokuwa na mpango!
Kamwaribiaga mwenzake vibaya masikini!
Hiyo 1980's Di alikuwa mtoto kabisa hajui chochote sijui 18 or 19 sasa si mtoto huyu!
Wakienda kwenye ile michezo ya pool yy na mume wake, mara huyo shangingi Camilla kashatia timu, sasa Diana hajui kinachoendelea kumbe watu ni wapenzi!
Siku Diana anajua mkanda mzima na bipolar ilimpata hapo hapo, Di anakwambia yule Charles alikuwa akipigiwa simu labda ndo wanakula sebuleni, Charles ataacha kula mbio na simu chooni or bafuni wanaongea mambo yao ya mapenzi, mara huyo kawasha Gari kwa Camilla na siku hiyo harudi home!
Dada wa watu kapitia kipindi kigumu angali mdogo asee!
Wamepatikana haswa! Wameanza kusema " brown girl in the house "
Acha tuKama Bi Zarina...
Kata mti panda mti!
mi nakwambia hii familia!hiii!
TUIONAGE TU NA KOFIA ZAO PANA KAMA MATURUBAI YA PARKING LAKIIIIIIIIINI!
ehehehehhe
BUT NAONA KABISA KUNA SIKU HII ARISTOCHRATIC LIFE WATAITUPILIA MBALI!
ni kama hawapendi tena!
ni kama wamechoka flan tu!
halafu wote kuanzia baba na wanae!
kwa Charles sidhani hata anaona ni big deal kuwa king!
issue kwa Camilla! ehehehhe that witch!
William ni kama anajikuta ameshakuwa groomed kuwa hivyo but kama hana la kufanya vile!
huyu mwenzangu na mie yeye ndo to hell mtajijua na ufalme wenu!kwanza I wasn't born to be a king either a prince!
BASI DOOOOOH!
labda Catherine anaweza flan kuleta tumaini kwa kajukuu nako sijui babake atakalandua tu!
AHAHAHAHHAHAHHA YANI THESE THREE ARE PAIN IN THE QUEEN'S HEART IF NOT ASS!
Mi napenda kucheka cheka lakini Meghan kazidi asee[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...si kwa vicheko vile!Kwa kweli sidhani kama aliwahi hata kufikiria kuwa atakuja kuolewa na Prince, tena baada ya kuachika!
Tehe!, kujifanya mpole mbona muhimu sasa..
Sidhani kama ataweza kujiachia tena kihivyo akiingia kwenye familia, maana mpaka kucheka si inabidi wacheke kwa pose eti hata kama umebanwa kicheko jamani...lol!
Kuwa royal hakuna mfano wake lakini kuna raha na tabu zake, maana naona hata rangi za kucha inabidi ziwe neutral na sio marangi rangi, mbona shughuli..
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Mi napenda kucheka cheka lakini Meghan kazidi asee[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...si kwa vicheko vile!
Hebu wampe hizo royal restrictions apunguze uhuni wa kimarekani!
Sio tuu utotoni shost!Inasikitisha!, halafu wala haja enjoy hiyo ndoa yenyewe pamoja na kuolewa mdogo hivyo.
Catherine ana kizazi chepesi! Si kwa kufululiza huku!Acha tu
Inabidi watupe siri ya mafanikio
Kuna jamaa mwalimu wa farasi wa late diana alidhaniwa kuwa mzazi wa huyu bwana harusi
ila jamaa wa farasi alikataa akasema alidate na diana baada ya dogo kuzaliwa;
nahisi walipima hata vinasaba;
Ni jambo la kheri kwa Harry kuoa sasa maana amekaa na kuwa na vibinti vingi bila kuonyesha dalili ya kutaka kuoa.
Pili, Meghan ni chotara na hiyo ni dalili ya ukoo wa kifalme wa Uingereza kukubali damu ya mtu mweusi kuingia katika koo hiyo hapo ni kuonyesha kwamba huko baadae kutakuwa na watoto weusi wa kifalme.
Kuna wazungu hawajapenda sana hii kitu na wamejiandaa kujihami kwa maneno mengi.
Lakini hii ndiyo dunia tunabanana hapahapa.
Hongera Harry na Markle.
Sio tuu utotoni shost!
Yaan Charles kamtia mwenzie gundu la kimapenzi maisha yake yote! hebu nambie toka Diana kawa divorced, ni mwanaume gani katulia nae? ukiondoa wale wa kisiri wa kuwekwa kwenye buti, Buckingham staffs, hamna cha maana alichokipata labda watoto na status! Lkn kimapenzi nah nah!
Huyo Dodi mwenyewe mla unga, kila siku kuwavalisha female Hollywood celebs mipete fake ya uchumba, na kuoa haoi yaaan.....
Yule mhindi surgeon ( hasnat khan) alikimbia gharama za Diana + kufatwa fatwa na paparazzi, akala kona!
Wanaume wengine matajiri wakawa wanaogopa kutembea nae maana wanajua mziki wa British Intelligence agencies!
Top of that Di alisetiwa mitambo( monitoring) bila kujijua, anachoongea, anachofanya kimeshatua security services! Maisha gani sasa hayo!
Bora hata alivyopumzika asee, asingebaki salama!
Mi napenda kucheka cheka lakini Meghan kazidi asee[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...si kwa vicheko vile!
Hebu wampe hizo royal restrictions apunguze uhuni wa kimarekani!
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAPO KWENYE UMAREKANI kuubadili kuufanya uwe okey kwenye medievalMi napenda kucheka cheka lakini Meghan kazidi asee...si kwa vicheko vile!
Hebu wampe hizo royal restrictions apunguze uhuni wa kimarekani!
AH WE UNAIJUA HII FAMILIA!Sio tuu utotoni shost!
Yaan Charles kamtia mwenzie gundu la kimapenzi maisha yake yote! hebu nambie toka Diana kawa divorced, ni mwanaume gani katulia nae? ukiondoa wale wa kisiri wa kuwekwa kwenye buti, Buckingham staffs, hamna cha maana alichokipata labda watoto na status! Lkn kimapenzi nah nah!
Huyo Dodi mwenyewe mla unga, kila siku kuwavalisha female Hollywood celebs mipete fake ya uchumba, na kuoa haoi yaaan.....
Yule mhindi surgeon ( hasnat khan) alikimbia gharama za Diana + kufatwa fatwa na paparazzi, akala kona!
Wanaume wengine matajiri wakawa wanaogopa kutembea nae maana wanajua mziki wa British Intelligence agencies!
Top of that Di alisetiwa mitambo( monitoring) bila kujijua, anachoongea, anachofanya kimeshatua security services! Maisha gani sasa hayo!
Bora hata alivyopumzika asee, asingebaki salama!
Di alikuwa used sana na hii familia!What, kulikuwa mpaka na muhindi??!!!
Jamani!, hizi issue zote zinaonyesha she was soo desperate to find love. And I think ni out of frustrations alizokuwa anazipata kutoka the Queen and company.
Poor, rich girl!..
Kama angeendelea kuishi sijui angeishiaje, si unajua hawa weupe walivyo soft and not that strong to handle too much stress..
SEEEE !so harry anajikuta tu hana any obligations whatsoever kwa hii familia!View attachment 640869View attachment 640871
Ni James Hewitt huyo!....ila kiukweli huyo ndo baba mzazi wa Harry...sema Hewitt anaogopa kusema ukweli ili asife!
fasta kuliko maelezo!Catherine ana kizazi chepesi! Si kwa kufululiza huku!
Au anataka amalizane na biashara ya uzazi ale bata kabla hajazeeka?
ahahahhahahhahaa BROWN WAAT?Wamepatikana haswa! Wameanza kusema " brown girl in the house "