Sio tuu utotoni shost!
Yaan Charles kamtia mwenzie gundu la kimapenzi maisha yake yote! hebu nambie toka Diana kawa divorced, ni mwanaume gani katulia nae? ukiondoa wale wa kisiri wa kuwekwa kwenye buti, Buckingham staffs, hamna cha maana alichokipata labda watoto na status! Lkn kimapenzi nah nah!
Huyo Dodi mwenyewe mla unga, kila siku kuwavalisha female Hollywood celebs mipete fake ya uchumba, na kuoa haoi yaaan.....
Yule mhindi surgeon ( hasnat khan) alikimbia gharama za Diana + kufatwa fatwa na paparazzi, akala kona!
Wanaume wengine matajiri wakawa wanaogopa kutembea nae maana wanajua mziki wa British Intelligence agencies!
Top of that Di alisetiwa mitambo( monitoring) bila kujijua, anachoongea, anachofanya kimeshatua security services! Maisha gani sasa hayo!
Bora hata alivyopumzika asee, asingebaki salama!