HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAPO KWENYE UMAREKANI kuubadili kuufanya uwe okey kwenye medieval
AH WE UNAIJUA HII FAMILIA!
NAINJOIIII!
Di alikuwa used sana na hii familia!
tu ili mfalme aoe bikra!
haijalishi ataishi nae vipi limfalme lenyewe bayaaaaaa !(MI BADO NAAMINAGA MAPRINCE WANAKUWAGA THE MOST HANDSOME )
ahahahahhhaha hadithi za Cinderella zishaniharibu!
SAS ALI PRINCE LENYEWE BAYA!
PILI HALINA MAPENZI!
TATU LINA LIMCHEPUKO LAKE HUKO NALO BAYA KAMA MAKUMBI LA NAZI!
LIMEKOMAAA!NALO LINAMPANGIA MPAK SIKU YA KUTUNGA MIMBA ZA WANAE!
BADO KUNA JAMIII INAYOKUTIZAMA KILA SIKU
uuuuwih na walimkuta lakini!
MPK MUDA ANAAMUA KUPINGA HAYO MAISHA NI KAMA WAS WAY TOO LATE!
wakaishia tu kumuua!
BORA ANGEZANZAGA KULA ZAKE BATA MUDA MREFU!
ahahahhahahhahaa BROWN WAAT?
wanalo !NA ATAWALETEA MJUKUU MWEUSI KABISA!
SIO MPKA UNAONA!HUO NDO UKWELI!Tehe!, hiyo siku Queen atapakata mtoto wa Harry, kitu mixed.
Harry akili chaff yule mtoto, mpaka unaona kana kwamba anamfanyia bibi yake kusudi...lol
umeona mbali sana sema kuna watu wanajua wazungu ndio mashoga kibao kumbe hawajui wanazungukwa wao hawapo hivyo kabisa tatizo watu hawafuatilii mambo ndio maana mishoga mingi africa ipo na mashariki ya kati chunguzaWazungu koko wanafiki sana.
Wanataka huko Africa wafanyane kwa style ya Obama na David Cameron ila watoto wao wanawaozesha Adam na Hawa!!
umeona mbali sana sema kuna watu wanajua wazungu ndio mashoga kibao kumbe hawajui wanazungukwa wao hawapo hivyo kabisa tatizo watu hawafuatilii mambo ndio maana mishoga mingi africa ipo na mashariki ya kati chunguzaWazungu koko wanafiki sana.
Wanataka huko Africa wafanyane kwa style ya Obama na David Cameron ila watoto wao wanawaozesha Adam na Hawa!!
umeona mbali sana sema kuna watu wanajua wazungu ndio mashoga kibao kumbe hawajui wanazungukwa wao hawapo hivyo kabisa tatizo watu hawafuatilii mambo ndio maana mishoga mingi africa ipo na mashariki ya kati chunguza
Aliacha watoto wawili, William na Harry. William ambae ndiye mfalme ajae ameshaoa na ana watoto watatu sasaKwaio prince hurry ni mtoto wa Di? Kwani princess Diana aliacha watoto wangapi? Kuna mmoja alioaga juzjuz alikuwa nani yule?
Aliacha watoto wawili, William na Harry. William ambae ndiye mfalme ajae ameshaoa na ana watoto watatu sasa
Unakwenda kwa mtoto wa kwanza. Prince Harry kuwa mfalme labda itokee ajali itakayowaua William na watoto wake. Au William akatae na watoto wake bado wadogo Harry anaweza kuapishwaAsante mkuu,vipi kuna uwezekano huyu prince Hurry nae baadae akaja kua Mfalme kweli?Hv kwa mfano prince William ikitokea ashindwe kuendelea kua mfalme huo ufalme atapewa mtoto Wa prince William au atapewa mdogo wake Prince Harry?je ufalme hua unaenda Kwa watoto Wa kwanza tu au?
Asante mkuu Kwa elimu nzuri,ngoja na Mimi nikatoe somo kwenye kijiwe changuUnakwenda kwa mtoto wa kwanza. Prince Harry kuwa mfalme labda itineraries ajali itakayowaua William na watoto wake. Au William akatae na watoto wake bado wadogo Harry anaweza kuapishwa
Asante mkuu,vipi kuna uwezekano huyu prince Hurry nae baadae akaja kua Mfalme kweli?Hv kwa mfano prince William ikitokea ashindwe kuendelea kua mfalme huo ufalme atapewa mtoto Wa prince William au atapewa mdogo wake Prince Harry?je ufalme hua unaenda Kwa watoto Wa kwanza tu au?
Unakwenda kwa mtoto wa kwanza. Prince Harry kuwa mfalme labda itokee ajali itakayowaua William na watoto wake. Au William akatae na watoto wake bado wadogo Harry anaweza kuapishwa
George V baba wa malkia Elizabeth alikuwa kwa cancer ya mapafu. Kipindi cha WWII alikuwa na stress sana, alivuta hata 30-40 kwa siku. Mke wake alilia sana msibani akisema wamemuua mume wake kwa kumpa ufalme.Uko sawa kabisa.
Kwenye duru za kifalme watoto wa pili huitwa "spare to heir" yaani wapo endapo litatokea jambo kama kifo au kesi ngumu.
Baba yake Malkia Elizabeth George wa VI, hakupaswa kuwa mfamle alipotawazwa kuwa mfalme na ilikuwa baada ya kaka yake alieitwa Edward wa VIII kuamua kwenda kuoa mwanamke alieachika halafu mmarekani alieitwa Wallis Simpson mwaka 1936.
Na yeye George VI baba alieitwa George wa V alitwaa k iti cha ufalme baada ya kaka yake alieitwa Abert Victor kuugua ugonjwa wa mafua mwaka 1892.
Naomba nikurekebishe kidogo hapo George wa V alikuwa ni babu yake Elizabeth.George V baba wa malkia Elizabeth alikuwa kwa cancer ya mapafu. Kipindi cha WWII alikuwa na stress sana, alivuta hata 30-40 kwa siku. Mke wake alikua sana msibani akisema wamemuua mume wake kwa kumpa ufalme.
ThanksNaomba nikurekebishe kidogo hapo George wa V alikuwa ni babu yake Elizabeth.
Baba yake Elizabeth ambae ndiye George VI alifariki wakati Elizabeth akiwa Kenya na akapandishwa ndege haraka kurudi London.
Ndiye alikufa kwa cancer ya mapafuNaomba nikurekebishe kidogo hapo George wa V alikuwa ni babu yake Elizabeth.
Baba yake Elizabeth ambae ndiye George VI alifariki wakati Elizabeth akiwa Kenya na baada ya taarifa za kifo, akapandishwa ndege haraka kurudi London.
Ndiye alikufa kwa cancer ya mapafu