Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Inatoa order usiku wafanyakazi wanapika, mezzanine kunakuwa na butler lakini chakula kinahifadhiwa kwenye hot plate kisipoeHawana wafanya kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatoa order usiku wafanyakazi wanapika, mezzanine kunakuwa na butler lakini chakula kinahifadhiwa kwenye hot plate kisipoeHawana wafanya kazi?
Harry is special to the commonersHarusi iko overhyped sana hii
just bunch of Americans are overhyping this wedding. Becaise of Miss MarkleHarry is special to the commoners
Jaman kuolewa kwenye palace mchezojust bunch of Americans are overhyping this wedding. Becaise of Miss Markle
Ila haina umuhimu wowote.
Nakwambia
I’m telling you kama commoners wangeambiwa wachague kati ya Harry na William, wangemchagua Harry. Mtoto wa mjinijust bunch of Americans are overhyping this wedding. Becaise of Miss Markle
Ila haina umuhimu wowote.
Nakwambia
Wallah sio mchezoJaman kuolewa kwenye palace mchezo
Sio Price Charles tena kwa nn amerukwa?Rumours has it itakuwa ni William na Kate Middleton
Hatuna uhakika maana juzi Charles amekabidhiwa ukuu wa commonwealth na mama yake.Sio Price Charles tena kwa nn amerukwa?
Aiseeee.Hatuna uhakika maana juzi Charles amekabidhiwa ukuu wa commonwealth na mama yake.
Sasa mtu hata ufalme wenyewe haji shikaJaman kuolewa kwenye palace mchezo
Both are popular in their way, William cant be like Harry because he is expected to be a king one day so he just act like that. He is calculative, more grounded and more familly man.I’m telling you kama commoners wangeambiwavwachague kati ya Harry na William, wangemchagua Harry. Mtoto wa mjini
Intelligence is sexy sana sometimes... I can't comprehend your sophistication yaani. Unakuwaga mzuri hapa tu kwangu...yaani kabla sijakuona I wish nikulete kwenye palace yangu...!
"When I'm king surely I would need a Queen and a palace and everything" Kingston Town lyrics.
Kesho ngoma itakayotawala ni Dada huyo anaolewa...wamarekani waswahili sana nawajua uzuri ndio maana Rihana wamemkaushia kwenye mwaliko, walijua wanaweza kusuprise pale Buckingham palace kwa kigodoro cha kibabe sana.
Kajamba nani tu akiolewa hapakaliki sembuse kuolewa kwenye ufalmeWallah sio mchezo
Ni kitu kikubwa jamani,hata siku nikiolewa na G jamani nitataka hata Itv wajue au wasafi tv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mtu hata ufalme wenyewe haji shika
Kwenye line ni wa 6 sjui, ina maana gani hata kuwa princess [emoji1].
Ile harusi kama si wa USA wangekuwa wanaipa promo ni ya kawaida tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenichekesha diaHaya mnayajuaje jamanii hahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kitu kikubwa jamani,hata siku nikiolewa na G jamani nitataka hata Itv wajue au wasafi tv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baby kesho unafuatilia hii ndoa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenichekesha dia