Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha!! Nalendwa sema ukweli my eyes stuck kwenye hicho kigimbi cha kibabe yaani kama winga wa Yanga afrika ya miaka ile anaitwa Said Maulid aka SMG alikuwa anakimbia kama risasi huyu njemba na kigimbi chake lilikuwa size ya hicho cha Megan. Ahahaha!..
Rumours has it itakuwa ni William na Kate MiddletonKwa hiyo akitoka queen Elizabeth nani anakuwa queen au king
Megan has seen it all, naona ndoa itadumuMapenzi..i guess he js wants the difference na Baba'ke
Diana Bikra ila ndoa chaliiii
Ahahaha!! Nalendwa
..But kuna mengi ya kujifunza kutokana na hii Royal wedding mostly about the power love and affection.....love is in the air and it happens in unnatural and uncontrolled way...that's why you can't be in love and be smart at the same time you must be craaazy in love..Prince harry has lost his mind and he can't help zaidi ya kumuoa mtoto wa mjini Megan. Amezidiwa na mahaba tu.
Love is the most powerful things ever. Their affection bonds sasa hivi its unbreakable.
Love is the truest of all.
Megan has seen it all, nao a ndoa itadumu
Intelligence is sexy sana sometimes... I can't comprehend your sophistication yaani. Unakuwaga mzuri hapa tu kwangu...yaani kabla sijakuona I wish nikulete kwenye palace yangu...!Very True!...and you with your Smart Thoughts...as always! 🙂
Umeongea vyema sana, Love conquers All!
A la Prince Charles and Camilla..imagine that!, pamoja na uzuri wote wa Princess Di lakini jamaa hakusikia wala kuelewa..
Love is the most Powerful thing.
And look at t these two, He's a Prince, and She's everything opposite of being called "ROYAL"
But...here they are. Kesho tunakula Ubwabwa! 😀
Intelligence is sexy sana sometimes... I can't comprehend your sophistication yaani. Unakuwaga mzuri hapa tu kwangu...yaani kabla sijakuona I wish nikulete kwenye palace yangu...!
"When I'm king surely I would need a Queen and a palace and everything" Kingston Town lyrics.
Kesho ngoma itakayotawala ni Dada huyo anaolewa...wamarekani waswahili sana nawajua uzuri ndio maana Rihana wamemkaushia kwenye mwaliko, walijua wanaweza kusuprise pale Buckingham palace kwa kigodoro cha kibabe sana.
Sarah Ferguson mtalaka wa Prince Andrew alieleza mengi kuhusu maisha ya Buckingham palace baada ya kuachwa.A p
A Palace is place to walk with freedom, if you know what I mean.
Meghan atakapokuwa Princess Royal ataacha kufanya kazi za kuajiriwa na hataruhusiwa kukubatiana mbele ya umma.
Hizi ni itifaki ngumu sana ambazo husahaulishwa na ile tu kuishi ndani ya kasri ya ufalme.
Hao royals wenyewe ma-damage control kibao. Kama ambavyo harusi huku bongo zinatawaliwa na drama kibao( Mfano Shangazi analalamika hakuambiwa mapema, mjomba anadai hakupewa mgao wa kutosha wa mahari, mara upande wa baba wanadai hawajaanza kutambulishwa kabla ya wa mama) ndivyo duniani kote inavyokuwa.Harry anaoa kwenye dysfunctional family
Wanakuwa na vigimbi kwaajili ya kuvaa viati virefuAhahaha!! Nalendwa sema ukweli my eyes stuck kwenye hicho kigimbi cha kibabe yaani kama winga wa Yanga afrika ya miaka ile anaitwa Said Maulid aka SMG alikuwa anakimbia kama risasi huyu njemba na kigimbi chake lilikuwa size ya hicho cha Megan. Ahahaha!
But kuna mengi ya kujifunza kutokana na hii Royal wedding mostly about the power love and affection.....love is in the air and it happens in unnatural and uncontrolled way...that's why you can't be in love and be smart at the same time you must be craaazy in love..Prince harry has lost his mind and he can't help zaidi ya kumuoa mtoto wa mjini Megan. Amezidiwa na mahaba tu.
Love is the most powerful things ever. Their affection bonds sasa hivi its unbreakable.
Love is the truest of all.
Na yule prince aliepata mtoto juzi anaitwa nani charles au wiliam?Rumours has it itakuwa ni William na Kate Middleton
Lakini binti yake si nae alikuwa na pesa inakuwaje mama yake aende airport na uberSometimes life can flip in a matter of second. One morning you woke up broke the next day you woke up in a 1.6 milion dollar car....Bugatti!
One day mama yake na Megan she was nothing...just yoga instructor get paid minimum wage in US...na alipokuwa anaondoka US kwenda Britain...alipanda Uber kuelekea airport na alikuwa amekula bugaluu lake la bei chee na karaba kake kakuchumpa but soon as she landed in Britain alipokelewa na Royal ceremonial military na akapewa royal VIP treatment pale Heathrow airport... Na akapakiwa kwenye ndinga Kali uelekeo kwenye palace. Huku Luis Vuitton wakipewa order ya kumtafutia nguo yake kali ya kwenye shughuli haraka.
Absolutely Unbelievable!!View attachment 780763View attachment 780764
Age ain't nothing but a number.Mwanamfalme Charles atamsindikiza Meghan Markle kwenye madhabahu kesho Jumamosi atakapoolewa na mwanamfalme Harry, kasri la Kensington limesema.
Babake bi Markle, Thomas, hatohudhuria harusi hiyo kwasababu amefanyiwa upasuaji wa moyo.
Mwanamfalme wa Wales ana "furaha ya kumkaribisha Bi Markle katika familia ya ufalme kwa namna hii", Kasri liliongeza.
Babu yake mwanamfalme Harry Duke wa Edinburgh, pia atahudhuria harusi hiyo, kasri la Buckingham limethibitisha.
Mwanamfalme Philip, mwenye umri wa miaka 96, amekuwa akipata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji wa paja lake.
Mamake bi Markle, Doria Ragland, atampeleka binti yake hadi katika kanisa la St George huko Windsor kutakako fanyika harusi hiyo.
Bi Ragland anakutana na nMalkia kwa mara ya kwanza leo katika kasri la Windsor akiandamana na Meghan, mwenye umri wa miaka 36, na Mwanamfalme Harry, aliye na umri wa miaka 33.
Ameshatambulishwa kwa Mwanamfalme Charles.
Akizungumza na BBC kutoka Windsor, Mwanahabari wa shirika la utanganzaji Marekani TMZ, Sean Mandell alisema amezungumza na babake Meghan Jumatano na kwamba 'aneandelea kupata nafuu baada ya upasuaji'.
Mandell - aliyeichapisha taarifa hiyo wa kwanza - amesema Bwana Markle alitambua Jumanne kwamba hatoweza kusafiri kuelekea Windsor.
Je harusi ya kifalme Uingereza inafuatiliwaje Afrika mashariki?
Maumivu ya kifuani yalikuwa yanamzidi kutokana na kuzidiwa kwa hisia," alisema.
"Wakati madakttari walipomuambia kwamba anahitaji upasuaji , aliamua kufuata maagizo licha ya kwamba alitaka sana kuhuduhuria harusi ya Meghan,"alisema Mandell.
Bi Markle alitoa taarifa Alhamisi akisema anaomba babake apewe nafasi na faragha ili aiangalie afya yake.
Hakuna bata?si atakuwa anamkumbatia mmewe tuA p
A Palace is place to walk with freedom, if you know what I mean.
Meghan atakapokuwa Princess Royal ataacha kufanya kazi za kuajiriwa na hataruhusiwa kukubatiana mbele ya umma.
Hizi ni itifaki ngumu sana ambazo husahaulishwa na ile tu kuishi ndani ya kasri ya ufalme.
Hawana wafanya kazi?Sarah Ferguson mtalaka wa Prince Andrew alieleza mengi kuhusu maisha ya Buckingham palace baada ya kuachwa.
Usiku unajaza menu ya chakula cha kesho
Ukichelewa dining unaishia kula chakula kilichokauka kutoka kwenye hot plate