Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Yaan jamani hehehehehe ni King G lo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaitwa prince G eeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan jamani hehehehehe ni King G lo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaitwa prince G eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan jamani hehehehehe ni King G lo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanayoyaongea ni ya ndani kabisa utafikiri wanaishi na kina hary ndio maana nimeuliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenichekesha dia
Hahaahahahah tukishindwa hata channel 10[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya queen
Tuta waoneaha laivu azam tv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaahahahah tukishindwa hata channel 10
Hahahahahaha uwiiii basi ITV au we unataka wapi clouds Tv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatushindwi
Channel 10 hapana jaman
Order of Succession ni Charles, William akifuatiwa na vitoto vyake vitatu then Harry...it is as simple as that! Ila watu wanamuona Chale aint worth it tuSio Price Charles tena kwa nn amerukwa?
Yes baby, nipo makini sana kwenye hii ndoa. Naifatilia hatua kwa hatua sitaki kumis kabisaBaby kesho unafuatilia hii ndoa?
hahah wewe mama rudi tu kwenye ubuyu wa kibongo, humu unapwaya sana hahahWanayoyaongea ni ya ndani kabisa utafikiri wanaishi na kina hary ndio maana nimeuliza
Intelligence is sexy sana sometimes... I can't comprehend your sophistication yaani. Unakuwaga mzuri hapa tu kwangu...yaani kabla sijakuona I wish nikulete kwenye palace yangu...!
"When I'm king surely I would need a Queen and a palace and everything" Kingston Town lyrics...
..
Kesho ngoma itakayotawala ni Dada huyo anaolewa...wamarekani waswahili sana nawajua uzuri ndio maana Rihana wamemkaushia kwenye mwaliko, walijua wanaweza kusuprise pale Buckingham palace kwa kigodoro cha kibabe sana.
HahahaYes baby, nipo makini sana kwenye hii ndoa. Naifatilia hatua kwa hatua sitaki kumis kabisa
AaaahHahahahahaha uwiiii basi ITV au we unataka wapi clouds Tv
Teh teh teh nafuata nyayo za shemeji yako NalendwaHahaha
Baby uko juu mi nilifuatilia ya Ali Kiba nacheza na asili yangu mpenzi
HahahaaTeh teh teh nafuata nyayo za shemeji yako Nalendwa
Mambo ya tz yamenichosha acha nipambane na vya mbali kidogo baby wangu
Usijali DearHahahaa
Nale siyo wa hapa huyo, afadhali tugawabe tusiwe wote waswahili
Utakuwa una ni update mpenzi wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali Dear
Ila kwa hizi international news embu uwe unajitahidi hata kujua vichwa vya habari ili tuwe tunaenda sambamba kidogo
Basi sawa hamna neno mydear[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mama wewe si ndio utakuwa una ni update halaf mimi ntakuwa naku update za bongo