Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

[emoji23] [emoji23] Royal wedding huwa tamu sana basi tu..!

Mara ghafla ITV wampeleke Alfred masako au kosimasi makongo akafanye live coverage ya wedding... I can't imagine anashout next ya wazungu....nkiripoti kutoka hapa Windsor Mimi ni kosimasi makooooongo wa ITV.... Siku hiyo hiyo deportation Kwa kusababisha noise pollution.

Ahahaha!! Harusi ya Kishua sio sawa na ya king kiba.


Hii harusi imeingia katika the 10 most expensive weddings ever!
Harry na Meghan watakuwa wamewapiku William na Kate..hii price tag sasa..

Meghan Markle and Prince Harry’s Wedding Could Cost $45 Million - Royal Wedding Cost

Meghan Markle and Prince Harry's big day will cost over 1,000 times more than the average wedding — here's where it will all go
 
Hivi hawa wanao oana kesho kama nahisi watakuja twangana talaka vile.
Vichwa vyao wote havijatulia


Hahah!, hapana Shem sidhani kwa kweli.
Naona kama wanaendana. Harry ndo kichwani kwake anajijua kwa kweli. Wewe mtu ilifikia wakati eti mpaka akataka kuuvua U prestige..lol

Meghan is a sweetheart pamoja na aliyopitia. Inaonekana atamtuliza.
 
Hahah!, hapana Shem sidhani kwa kweli.
Naona kama wanaendana. Harry ndo kichwani kwake anajijua kwa kweli. Wewe mtu ilifikia wakati eti mpaka akataka kuuvua U prestige..lol

Meghan is a sweetheart pamoja na aliyopitia. Inaonekana atamtuliza.
You guys seems to hold these guys so high
[emoji1]

Sema may be kwa kuwa ni two imperfect people they will do alright
 
Huyu demu ana bahati sana yaani na kigimbi chote hiki kama Nsajigwa bado amemudu kuusogelea Uprincess na kuzama Buckingham palace kiulaini. Achilia mbali uafrika wake, divorced, scandals, being American e.t.c but she made it to the palace.

Women don't give up hata kama single mother...love conquer all, siku moja ataingia kingi hata Mohammed dewji muhimu ni ku hang sehemu ambazo Dewji anahang..you never know..shiit happen!! ..kama Ntuyabaliwe alivyompofusha Mengi kirahisi na kupunguza ukali wa maisha akiwaacha Wema na wenzie wakipauka kitaani. View attachment 780727View attachment 780731
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom