Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

GGMU kwanza maana ushindi au kushindwa doa la milele kuliko harusi ambayo kufungwa inafungwa vizuri na watu wanasherehekea
Huo mtanange utakuwa wa kukata na shoka....

But all in all i wish all the best to my lovely team Manchester united....
 
Kama unafikiri wewe unapenda sifa, attention, cameras... tafakari mara mbili...David Beckham na Posh wanapenda sifa sana when it comes to fashion and stealing the show.

Hapa mapema Leo ndio wanafika maeneo ya Windsor shughuli itakapofanyika lakini bling walizotandika wanawafanya bwana na bibi harusi waonekane kama vile wasindikizaji tu.

Cool down the pace The Beckhams, you Rocking too fast.View attachment 780946
Mbona mamaa kama vile ana mimba nyingine?
 
Ila
Sometimes life can flip in a matter of second. One morning you woke up broke the next day you woke up in a 1.6 milion dollar car....Bugatti!

One day mama yake na Megan she was nothing...just yoga instructor get paid minimum wage in US...na alipokuwa anaondoka US kwenda Britain...alipanda Uber kuelekea airport na alikuwa amekula bugaluu lake la bei chee na karaba kake kakuchumpa but soon as she landed in Britain alipokelewa na Royal ceremonial military na akapewa royal VIP treatment pale Heathrow airport... Na akapakiwa kwenye ndinga Kali uelekeo kwenye palace. Huku Luis Vuitton wakipewa order ya kumtafutia nguo yake kali ya kwenye shughuli haraka.

Absolutely Unbelievable!!View attachment 780763View attachment 780764
nasikia huyu mwanae ana hela pia hata kabla ya kua na uhusiano na Prince
 
Kama kawaida Elton John mwanamuziki alie na rich history na Diana pamoja na Royal family yote kwa ujumla ataperform live as usual.

Ikumbukwe ngoma yake ya "Candle in the wind" alilazimika kuinda upya na kuiwekea maneno yaliyomhusu princess Diana baada ya kifo chake but awali kwenye version ya 1 yalimhusu Marlin Monroe maarufu kama Norman Jean. Huu wimbo haiwezi kusahulika ndani ya Royal family hii kamwe.

Mara zote alikuwa akitumbuiza anawaliza Royal family wote endlessly but kesho atawakosha kwa ngoma zake kali zisizochuja...ikiwemo ngoma yake ya "can you feel the love tonight" then "sacrifice " na zingine Kali kibao zisizochuja zitazizimisha mioyo ya wahudhuriaji.

Picha ya pili mafans wa Royal family wakiwa wamepiga kambi kwa siku kadhaa Ku secure sehemu ya mbele kabisa ya barricade ili wawaone wapenzi hawa live.

Show inaanza sasa!

View attachment 780935View attachment 780936
Nasikia huyu Madam Eliton mke wa mtu
 
Ni shida sana maana hawaishi na pia malkia huwa harudii nguo kila siku anavaa mpya bei mbaya hapo kodi zinaliwa vizuri tu. William ndo komesha kila mwaka anaongeza tu idadi ya watu duniani
Royal family watu walishaichoka kukilisha kile kibibi na familia yake. Diana alikuwa karibu na watu sana na alifanya watu waipende Royal tena.
 
Sanaa tuu!amejiongeza mnooo
Same applies kwa destiny child...Beyonce alivyoona kundi limefubaa akajiweka kwa Jay Z pale anaemiliki studio za Def jam na msanii bilionea hadi Leo anarindima uzuri tu wenzake hata hawajulikani wanaishi kitongoji gani US. Kosa wameshindwa kuchanga karata zao vizuri.

Life is a game of chance!
 
Back
Top Bottom