Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

ea99506ba04458701ec4126d2a88a329.jpg
mama na mwana
 
Hahah!, hapana Shem sidhani kwa kweli.
Naona kama wanaendana. Harry ndo kichwani kwake anajijua kwa kweli. Wewe mtu ilifikia wakati eti mpaka akataka kuuvua U prestige..lol

Meghan is a sweetheart pamoja na aliyopitia. Inaonekana atamtuliza.
Yahh her past,exposure and all...mi naona they will last..na Harry anaona kapata smthn different...i see ts a perfect rare match
 
Ndoa za kibongo uwa hazifi, jamaa wa zamani lazima aendelee kukugongea tu hahahah
Hahahhaha hawa famous people afadhali yao na ulinzi na picha picha za media lazma mtu uwe mwaminifu asee
 
Back
Top Bottom