Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Najua hutaki kuniambia ukweli ukidhani nitaringa no no nooooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baby unajua nliko tokea, hayo mambo ya u royal hatuna.
Jikaze na mie commoner
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hutaki kuniambia ukweli ukidhani nitaringa no no nooooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baby unajua nliko tokea, hayo mambo ya u royal hatuna.
Jikaze na mie commoner
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Najua hutaki kuniambia ukweli ukidhani nitaringa no no nooooooo
Basi sawa acha tuendelee kupambana na nchi yetu ya viwonder vya vyerehani nne nne.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwee mpenziiii mimi kapuku tuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwee mpenziiii mimi kapuku tuu
.Basi sawa acha tuendelee kupambana na nchi yetu ya viwonder vya vyerehani nne nne.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi sawa acha tuendelee kupambana na nchi yetu ya viwonder vya vyerehani nne nne.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unalala maskini unaamka tajiri acha kabisa.
Siwezi kukusahau rafiki yangu I promise you [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jirani mimi mtoto wa uswazi tuu Ney ndio na nielekeza haya mambo yenu
Kweli jirani [emoji23] [emoji23]Hahaha!, yeah right!
Kama kweli vile...lol
Hahah!, vyerehani nne nne! [emoji1]Basi sawa acha tuendelee kupambana na nchi yetu ya viwonder vya vyerehani nne nne.
[emoji23] [emoji23] Royal wedding huwa tamu sana basi tu..!
Mara ghafla ITV wampeleke Alfred masako au kosimasi makongo akafanye live coverage ya wedding... I can't imagine anashout next ya wazungu....nkiripoti kutoka hapa Windsor Mimi ni kosimasi makooooongo wa ITV.... Siku hiyo hiyo deportation Kwa kusababisha noise pollution.
Ahahaha!! Harusi ya Kishua sio sawa na ya king kiba.
Hivi hawa wanao oana kesho kama nahisi watakuja twangana talaka vile.
Vichwa vyao wote havijatulia
You guys seems to hold these guys so highHahah!, hapana Shem sidhani kwa kweli.
Naona kama wanaendana. Harry ndo kichwani kwake anajijua kwa kweli. Wewe mtu ilifikia wakati eti mpaka akataka kuuvua U prestige..lol
Meghan is a sweetheart pamoja na aliyopitia. Inaonekana atamtuliza.
You guys seems to hold these guys so high
[emoji1]
Sema may be kwa kuwa ni two imperfect people they will do alright
Ishaanza hapa CNN wako Live wanatoatoa summary tu ya ndoa kwanza nimewahi kwenye hotel ya msomali nimeagiza kikombe cha chai ya rangi kavu nagonga taratiiibu mpaka mwisho Wa tukioLive kuanzia saa ngapi hapa To
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sanaaa tuWanawake ni kulilia bahati uzuri tupa kule
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu demu ana bahati sana yaani na kigimbi chote hiki kama Nsajigwa bado amemudu kuusogelea Uprincess na kuzama Buckingham palace kiulaini. Achilia mbali uafrika wake, divorced, scandals, being American e.t.c but she made it to the palace.
Women don't give up hata kama single mother...love conquer all, siku moja ataingia kingi hata Mohammed dewji muhimu ni ku hang sehemu ambazo Dewji anahang..you never know..shiit happen!! ..kama Ntuyabaliwe alivyompofusha Mengi kirahisi na kupunguza ukali wa maisha akiwaacha Wema na wenzie wakipauka kitaani. View attachment 780727View attachment 780731
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu wewe km unavyojua stories za kina Dai ndo hvyo sasaJamanii yaan utafikiri wanaishi nao pale palace