Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Eventually prince chalz atawalk along with Meghan as her dad

Kimeghan kinachekelea huko hiiiii
 
I’m telling you kama commoners wangeambiwavwachague kati ya Harry na William, wangemchagua Harry. Mtoto wa mjini
Both are popular in their way, William cant be like Harry because he is expected to be a king one day so he just act like that. He is calculative, more grounded and more familly man.

Harry is more of a royal clown because we expect nothing from him he is not burdened by the weight of expectation.
I think you just prefer Harry ila kwa maana ya popularity sidhani kama wana zidiana kiasi hiko.
 



Familia


Babu Phillip na bibi Malkia Elizabeth II wakijadiliana jambo baada ya rehearsal huko Windsor Castle nchini kusini mwa Uingereza.

Babu Phillip ambae mwezi ulopita alifanyiw aupasuaji kwenye paja amethibitisha kutaka kuhudhuria sherehe ya harusi ya mjukuu wake na watu wakae chonjo kwa maneno mengi ya utani ya mzee huyu.

Babu Phillip leo hii aliamua pia kuendesha gari aina ya Land Rover Discovery kwenda Windsor kutokea kwenye moja ya makazi yao yaliyopo karibu.

Chanzo: picha za Credits Getty na WENN.com
 
Sasa mtu hata ufalme wenyewe haji shika
Kwenye line ni wa 6 sjui, ina maana gani hata kuwa princess [emoji1].
Ile harusi kama si wa USA wangekuwa wanaipa promo ni ya kawaida tuu
Ni kitu kikubwa jamani,hata siku nikiolewa na G jamani nitataka hata Itv wajue au wasafi tv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…