Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Daah!!!
 
Sasa mtu hata ufalme wenyewe haji shika
Kwenye line ni wa 6 sjui, ina maana gani hata kuwa princess [emoji1].
Ile harusi kama si wa USA wangekuwa wanaipa promo ni ya kawaida tuu
But he is from Royal Family
 
Ni kitu kikubwa jamani,hata siku nikiolewa na G jamani nitataka hata Itv wajue au wasafi tv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji23] [emoji23]
 
I love this couple Victoria anajitambua sanaaa kwa namna Beckham alivyokuwaga na kashfa zile mwingine angeachika mda sanaa!
 
Queen Elizabeth II amekuwa malkia kwasababu hakuzaliwa na kaka. Kama Princess Margaret angekuwa wakiume Elizabeth angerukwa. Sheria ilibadilika 2013 siku hizi the first born whether is a girl or a boy becomes a hare to the throne
Naona uko vizuri kipande hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…