Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Msinitengee tafadhali[emoji1] [emoji1] [emoji1] unanidhalilisha sasa
Picha jamani NumbisaSifa tu bora meghan hana asili ya kenya tungejuuuutaaa kuwafahamu
Wasikaue tu"Hili tabasamu ni pale unapotambua umekuwa official mke and there is nothing he can do about it."
Apparently, huyu demu kweli wa uptown wala hakuwa na aibu wala kuficha macho wala kuwa shy...kanatabasamu tu whenever.. Wherever! Na kanaikazia macho ile halaiki confidently.
Mungu akasaidie ndo yake idumu.View attachment 781281
Sanaa...she was innocent!
Kama punishment walitakiwa kuipata wote Diana na Charles!
na waza hivi hivi...ngoja m15 m16 waingizwe kazini "" wenyew mtafurahiHer Majesty ni mnafiki wala hajafurahi kuona mjukuu Harry anamuoa huyo black afuu commoner basi tuu afanyeje kaishajizeekea na ana skendo ya kumuua Diana....huyo Meghan kama mbele mbele hajapewa sumu sijui!
[emoji23][emoji23][emoji23] Wabongo tupate somo hapoHa ha haaaaaa
Tena wana mapenzi moto moto kama wamejuana miaka na miaka..
Picha jamani Numbisa
Mama Sabrina haelewi mkia uko wapi wala kichwa kiko wapi?
Yeye na Kim kardashian tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Huyo Charles alikuwa na Camilla na mademu wengine kabla ya Diana!Kwani ilikuaje Diana akamuacha Charles nini kilitokea,au michepuko kina camila
Kichwa kichafu huyo hanaga aibu!Hahah!, mama Sabrina anafurahisha jamani! 😀
Good for her lakini, haoni vibaya kuuliza.
huyo "" hajatulia toka enzi za ukuaji wake mkuj"" kamsumbua mnoo bimkubwa wake "" jitu la kupenda bata na Watoto Wazuri .drama mwanzo mwisho "" hajatulia hata kidogo""
Halafu Elizabeth huyo ndo roho yake!Si wajua damu nzito kuliko maji na pia wangemuua charles ina maana malkia angepungukiwa nguvu flan kiutawala kwa hio skendo na watoto wangedata sana
Huyo Charles alikuwa na Camilla na mademu wengine kabla ya Diana!
Ukoo wa kifalme wakamleta Di akiwa bikra kana miaka 19 kakaolewa na huyo Charles, so obvious baada ya kumvunja bikra na kutosheka na papuchi, akaendelea kukulana na Camilla, so Camilla akawa anapambana ili aolewe na Charles, so drama mpaka Di akajua kuwa hapendwi!
Akaomba talaka akasepa, ndo akaanza kutembea na huyo mwarabu tajiri Dodi, ikabidi wammalize!
Ile familia ya Meghan kama ya tandale kwa kina Domo ...full maigizoo
Na wamekomeshwaaaa
intelligence people " huwa hawaonyeshi chuki zao hadharani mkuu"" wanaweza hata kuku kumbatia na kuchangia na wewe Chakula "" kumbe wanapanga kukutoa rohoUwii Witness jamani dada wa watu yasijemkuta yaliyomkuta Diana..
I couldn't wait kusikia reaction ya Queen kwa hili la kuingiza damu nyeusi kwao, lakini kaonekana ku support tena kwa kurusha dongo kwenye media?!
Nashangaa wanaohoji tabia yake!Harry karithi kwa baba ake kabisaaa
Halafu Elizabeth huyo ndo roho yake!
Hata hivi wanataka kumruka mwanae asiwe king inamuuguza tu!
kwakweli "" hata mimi ningekuwa ndiye yeye ningefanya hivyo" nilikuwaga na vutiwa mnoo na life style yake " jinsi anavyo jichanganya na Jamii kama star wa HollywoodNadhan malez aliyopewa aliona kabisa hana cha kupoteza hasa vile chance ya kuwa mfalme ni mdogo kijana akaona ya nini kujibania bania wakati maisha ya raha yapo